Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,428
- 1,660
We utakuwa mwalimu wa private,wenzako wanasimamia sensa,uchaguzi na sasa mwenge na sasa hivi kwenye mwenge lazima uwe na stamina yakukesha kwani uambata na kusainishwa midi night tafuta mwanachi na mtanzania ya Leo.Hahaha kweli walimu tunadharauliwa eti kukesha na mwenge noncens