Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,120
- 111,793
😂 jidanganye hivyo hivyosisi ndo tuna pipe zimechangamka, nyie zimeanza kusinyaa😂mmeshafanya masihara mengi sana😂
😂 jidanganye hivyo hivyosisi ndo tuna pipe zimechangamka, nyie zimeanza kusinyaa😂mmeshafanya masihara mengi sana😂
Humu wapo wengi sana na ndio wanaongoza kwa matusi ya jumla na reja rejaHizi ID mpya nyingi ni za watoto wa 2000 kuja juu 😅😅😅
sisi ndo tuna pipe zimechangamka, nyie zimeanza kusinyaammeshafanya masihara mengi sana
![]()


watoto wa 2004 hiki ndio kinawapa jeuri kumbe?Akiendelea kukuandama, au ukiona mtu anawaandama, plz nitag 😅😅😅Apuuzwe🤣
Nawapenda sana na mnanipenda pia 🥰Yaani huyo sijui kakataliwa na mshangazi humu, ndio maana ana hasira na sisi.
Maana toka mchana anatuponda tu bila sababu za msingi
😅😅😅 Akikua ataelewa
mimi na wewe hatupishani sana kwa jinsi nilivyoona ule mguu wako mzuri


mguu umezeekatuko on demand watu wa early 20s na late teens 😂
Ndio maana siku hizi kumekuja na mada za ajabu ajabu humu ndaniHizi ID mpya nyingi ni za watoto wa 2000 kuja juu 😅😅😅
Ndivyo unavyouona? Mbona bado unavutia sana 😋
Tumshtue au tumuache atashtuka mwenyewe? 🤣😅😅😅 Akikua ataelewa
Yaani nitafanya hivyo fasta, uje unitetee😅Akiendelea kukuandama, au ukiona mtu anawaandama, plz nitag 😅😅😅
Nakazia😅😅😅 Akikua ataelewa
Wapo moto sana, imagine kuna new ID ilikuwa inamtongoza faiza foxy, tena imemuanzishia nyuzi kibao 😅😅😅Ndio maana siku hizi kumekuja na mada za ajabu ajabu humu ndani
Tumuache tu 😅😅Tumshtue au tumuache atashtuka mwenyewe? 🤣
😂😂😂 aiseeWapo moto sana, imagine kuna new ID ilikuwa inamtongoza faiza foxy, tena imemuanzishia nyuzi kibao 😅😅😅