Cumudia
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 510
- 859
Afrika extended family inatuumiza sana kiuchumi, nimebahatika kuishi kidogo Malawi, Mozambique na Swaziland kote huko hii mifumo ya extended family imetawala ndio maana umasikini umejaa.
Familia zetu mmoja akipata watu wote umtegemea na uhamia kwake kisa upatikanaji wa chakula na malazi ni rahisi, umasikini hautaisha afrika kwasababu unaanzia katika ngazi za familia zetu ambazo bado zina fikra za utegemezi kwa mwenye nacho hii yote sababu ya uvivu na ukosefu wa fikra za kujitegemea, ndugu zetu wengi wanapenda kitonga tunapenda mambo rahisi.
#Imagine; nina mahusiano na raia wa kigeni lakini ndugu zangu wanakomaa atatenga familia nisioe, , hawatoweza nitembelea nk.
Yote sababu ya mazoea ya kumtembelea na kuhamia kwa mtu.