Nimechoka kumsubiri, nahitaji kuolewa

mm ni Binti wa miaka 26.Nina mchumba tuliwekeana ahadi tutaoana. ila naona mda unaeenda na yy ukimuuliza hajajipanga kimaisha nimechoma kumsubiri. natafuta mume wa kunioa.
.angalau awe na Miaka 27-37.sijaweka number kwa sababu maalumu. ukihitaji NM tutawasiliana.naishi dar
Tutafutane kupia namba 0762036146 tusaidiane mwenyewe natafuta mchumba kama ww!!!!
 
Hitaji la kutaka kuolewa....linakufanya upoteze uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo......kufunga ndoa ni jambo la kwanza na kuhimiri mikikimikiki ya ndoa ni jambo la pili.........
Maamuzi ya ndoa ni moja kati ya maamuzi yanayohitaji umakini wa hali ya ju kwani ni maamuzi yanayopelekea kubadilisha mfumo mzima wa maisha yako.........

Ndoa ni mahali penye furaha.....ni muunganiko unaoleta faraja ndani ya mioyo ya wapendanao.....unatakiwa uishi na mtu anayeishi ndani yako......kwa sababu hakuna shule au chuo kinachofundisha namna ya kupenda........

KUPANGA NI KUCHAGUA.......

Heri ya sikukuu kaka
 
Hahahahhahahahahah kwa Uongo Huu daaah.. Ndo Maana Jamaa Limechuna Hufai Kuwa Mke Wewe na Ukichunguza Vizuri Inawezekana jamaa Yako Huyo Alishatoa Mahali Kw Mtu Mwingine
 
Last edited:
Ni rahisi kujenga upya nyumba kuliko kujenga upya ndoa.

Huyo mpya naye atahitaji muda kabla hajaamua!
 
endeleeni kumponda na kumpa ushauri...!

@rubylove...ndo mimi huyooo PM kwako huku naimba kale kawimbo ketu, "mapenzi hayana mwenyewe...unaweza penda kijana au mzee....niite jina gani mpenzi...kuna muda namwomba Mungu angetuleta pamoja..."
Hahahaa hapa sina kaka kwakweli...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom