Nimechoka kulea bora afe isiwe taaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaabu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,298
33,083
299845_180895488659446_100002169891259_392379_2043061671_n.jpg
 
nikikukuta unafanya hivi..! ni mimi na wewe tu mpaka mmoja wetu afe ama mimi ama wewe
AHSANTE SANA
 
Mzizi Mkavu,heshima yako mkuu. Naomba u-edit title kuonya juu ya picha ya kustusha,wengine mioyo yetu dhaifu jamani! Natanguliza shukrani

Nakuunga Mkono King'asti, hata mimi sikupenda kabisa kuiona picha kama hii. Mkuu MM uwe unatoa tahadhari banaaa picha nyingine wengine tusingependa kuzitia machoni kabisa.
 
Hiyo ni michezo (sarakasi) ya kawaida Mumbai, walio bahatika kutembelea India watakujuza zaidi, nami nikipata nafasi ntakuletea vituko nilivyovishuhudua India. Vina sisimuwa.
 
Mzizi Mkavu,heshima yako mkuu. Naomba u-edit title kuonya juu ya picha ya kustusha,wengine mioyo yetu dhaifu jamani! Natanguliza shukrani
Samahani kama nimekukwasi huyu ana njaa ya kimaisha na Serikali haiwezi kumsaidia hizo ni mbınu za kuishi nchini india

Nakuunga Mkono King'asti, hata mimi sikupenda kabisa kuiona picha kama hii. Mkuu MM uwe unatoa tahadhari banaaa picha nyingine wengine tusingependa kuzitia machoni kabisa.
Samahani usijali siku ingine nitaweka tahadhari
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Samahani kama nimekukwasi huyu ana njaa ya kimaisha na Serikali haiwezi kumsaidia hizo ni mbınu za kuishi nchini india

Samahani usijali siku ingine nitaweka tahadhari

....Bila samahani Mkuu...Mimi na wewe hakuna haja ya kuombana samahani Bro. Nashukuru umenielewa.
 
yani kwa style hiyo dogo akitoka hapo keshakuwa kinega original.

Il Gambino.
 
Back
Top Bottom