Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

Saluti nyingi sana kwako....huo ndio uanaume mwanangu....dunia uwanja wa fujo....hayo yamenikuta sana...mwanzoni ilinisumbua sana....baadae nikakomaa....nikaapa sitafuatilia tena....Kuna wakati katika kutafuta maisha nitajikuta naishi na mshangazi miaka zaidi ya 35 iliyopita.....nikawa napangwa mimi ni kaka mtu...napisha chumba nalala sebuleni....jamaa anabandua usiku kucha...na mimi nasikilizia......
 
Nakubaliana na wewe mkuu 100%
 
Asante kwa ushauri.
 
Kweli wewe una uzalendo mzee. Ila shkamoo pia dingi.
 
Ingawa rich mavoko aliimba kuchapiwa ni siri za ndani ila hawa wanawake sometimes sijui huwa nini Yani I wish nitukane unampa Kila kitu ila kwenda kutiwa nje anaona fashion
Hapana mkuu it's too early kuishi na mizigo mizito kama hii moyoni, sifa ya mke cheater ni maana yake upendo haupo na yupo tu kwasababu mazingira yanaforce. Uwezekano waku cheat tena ni 90%+ Hii iliopaswa iwe siri ya ndani nimeiweka kwenu wote, kuna la kujifunza hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…