Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,843
- Thread starter
- #181
Only a yearHivi zile allocation zilizopo kwenye account ni za miaka mitatu yote na haziwez badilika ama?
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Only a yearHivi zile allocation zilizopo kwenye account ni za miaka mitatu yote na haziwez badilika ama?
Hapo Sawa nikajua labda sitatanua nikifika chuo
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Ayaaa sasa itakuaje mm kujizuia kwenye matanuzi siwezagi yani bila k vant na kitimoto nusu siku haiendi kabisa yanikwa wewe umesema una nauli tu hapo ulipo hauwez kutanua...maana wanaotanua chuo ni either pesa za nyumbanj kwao au wana biashara, boom hauwez kutanua na ukijaribu utateseka bure
? Ko tunapata shida ili tusimlie watotoUsipopata shida utasimulia nini watoto zako dogo?
ilo umesema wewe
Ivi wewe uko serious uko kichwani kwako unachowaza ni kula bata tu na hela za mkopo watoto wa siku izi bhana
si lazma usome ludi kijjn kama vip
achana na chuo fata maisha unayotaka maisha yatakayofanya uone ni maisha.
Wewe unataka maisha gani
Sina pesa yakujazia naombeni ushauriyaani mkopo wote huu unalalamika?!!!!!
Kjjjn pagumu wewesi lazma usome ludi kijjn kama vip
Unataka utanue? Angalia usitanuliwe
Yasiwe yakupigiana miayoWewe unataka maisha gani
Ayaaa sasa itakuaje mm kujizuia kwenye matanuzi siwezagi yani bila k vant na kitimoto nusu siku haiendi kabisa yani
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app