Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,591
- 31,128
Unatakiwa kunajibana kwenyeMajina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Sasa maisha gani hayoNenda kafanye usajil, utakuwa ukichukua hela ya boom na kumalizia ada na malipo mengine. Utaishi kimkakati hupaswi kuiga watu.
achana na chuo fata maisha unayotaka maisha yatakayofanya uone ni maisha.
Nenda kafanye usajil, utakuwa ukichukua hela ya boom na kumalizia ada na malipo mengine. Utaishi kimkakati hupaswi kuiga watu.
Hongera sana,,,Umepewa mkopo wa kutosha kabisa.....Unadaiwa ada laki 2 tu. Semester 1 unalipa laki moja then unamalizia nyingne semester 2. Nenda report, mkope mtu laki moja ulipe ada,ukisha sign boom unapokea laki 5 yako shida zote zinaishaMajina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Hao ukute Wana wazazi machiefAcha kututia hasira wewe 1.1M toa laki tisa ni sh ngapi??
Watu tumepata Boom pekee ake na ni afya na ada ni zaidi ya hio yako
Asilimia kubwa watu wamepata booom pekee ake au mtu ada mil 3,4,5 mpaka 6M lakn akizidi sana kapewa laki tano
Compare yours!!
Duuuhachana na chuo fata maisha unayotaka maisha yatakayofanya uone ni maisha.
Ila siwezi kutanua ndotatizoHongera sana,,,Umepewa mkopo wa kutosha kabisa.....Unadaiwa ada laki 2 tu. Semester 1 unalipa laki moja then unamalizia nyingne semester 2. Nenda report, mkope mtu laki moja ulipe ada,ukisha sign boom unapokea laki 5 yako shida zote zinaisha
Sawa mkuuMkuu ebu kaachini then mshukuru Mungu kwa ulicho kipata.
Mm wakati npo chuo nilipata mkopo but nilipewa meals and accomodation pamoja na stationary lkn niliweza kujilipia ada na kuishi vizuli tuu
Kitu chakufanya usiende kupanga Kaa hostel Mkuu then kabla ya kupokea pesa fanya mipangilio mizuli yapesa zako natumaini utatoboa lkn ukijichanganya kupanga tuuu uwez toboa trust me Mkuu
Majina yawaliopata mkopo yametoka lakini cha ajabu loan board wametoa asilimia chache Sana namm mfukoni nina pesa ya nauli tu, Ada ya chuo ni million moja na Laki moja lakini wao wamenipa Laki tisa na Mia tano tu
na meals and accommodation wamenipa million mbili na tisini elfu na Mia tano
Nifundisheni namna ya kukata rufaa View attachment 1977591
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app