Nimechanganyikiwa mwezenu

Kama alikuwa anakupenda atarudi tu. We tulia kama vile huna shida nae. Ukijiliza liza na kumpigia pigia simu ndo atakuona ----.
 
Ukinijibu haya maswali matatu ntarudi kukushauri vizuri tuu

1. Una Umri ghani?
2. Mmekua katika mapenzi kwa mda ghani?
3. Ilikuaje mpaka neno............" Akasikia yote" ,,...ikatokea!......... simply ilikuaje mpaka mpenzi wako huyo akajua kua ulienda kukutana na mtu!


Before you reply,, take a note.
Kama Umefuniwa.... get the hell out of here.
 
hahaaaa maneno yako hayo daah mie hoi huku

I wish nilienae aniambie hata hayo maneno lakini yeye walaaaaaaa
Dah, pole sana..
Una kitu kimoja ambacho hua kukipata kwa mabinti hasa bongo ni ngumu sana, kwa mtu ambaye atakua amekiona hicho kama bac maneno haya si kukwambia, bali ni kuyatimiza...
 
Dah, pole sana..
Una kitu kimoja ambacho hua kukipata kwa mabinti hasa bongo ni ngumu sana, kwa mtu ambaye atakua amekiona hicho kama bac maneno haya si kukwambia, bali ni kuyatimiza...

we acha tu kuna mkaka Mmoja aliwahi kuniambia hivi "Sijui wanaume wa siku hizi ni Vipofu,
Why they don't see you the way I'm seeing you!!!!for real your a Super Woman... na ni mwanamke
ambae kila mwanaume mwenye akili anapenda kuwa nae" sisahau maneno yake hadi keshokutwa
 
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman

Mpaka amekurekodi ina maana mazungumzo yenu hayakuanza hapo, alikuwa anayafahamu,akakufuatilia na akajiandaa vya kutosha mpaka akakurekodi
Hebu tueleze zaidi......
 
Mie sasa hivi nataka niende kwa fundi vyuma aniwekee moyo wa chuma hakuna huruma wala msamaha.
halafu why is it harder for men to FORGIVE!!!!!!!!

Mie sielewagi hata lakin sisi wanawake tuna vihere here vya kusamehe hao.......
 
Umeonaeee,muda mwingine yapaswa kumpa mtu nafasi ya kutafakari na kuelewa umuhimu wako katika maisha,
Kama alikuwa anakupenda atarudi tu. We tulia kama vile huna shida nae. Ukijiliza liza na kumpigia pigia simu ndo atakuona ----.
 
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman

mazungumzo gani hayo? mbona huyasemi???????? umekalia tu mazungumzo...!
 
kuonana tu ndugu hakuna kingine

Sasa unataka kusema yeye hapendi wewe kuonana na mwanaume yeyote?
Kuwa mwazi kwani kugegedwa kitu gani? ukiwa mwazi utapata mawazo yenye msaada zaidi
 

Mliachana kabisaaaaaaaa baada ya hiyo EVENT!!!!!!!!!!!!!!
 

"tufanye tu kama tunatoa sadaka."
Hakika umenena maana wengi wanakuwa kwenye kipindi cha majaribio huku kwa mdomo anakuhakikishia kuwa amefika
 
umejutia kosa yakupasa punguza mawazo jpe mda na jpange kwanza kxha,muombe mungu akuongoze kxha nenda kwa mpenz wako na zawad kama ixhara ya upendo.amin atakuxamehe.kwa kuwa mwenzako anakuona xio mwaminifu pole xna
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…