Nimechanganyikiwa mwezenu

wanaume wenzangu mbona mmekuwa wakali sana kwenye thread hii? Kulikoni?
 
huyo anakupima tu... wanaume wanapenda wakililiwa na shori, wanajisikia wanaume kweli, wanajisikia kweli wanatakwa.. mpotezee kdg tu uone ataanza kelele.. Sema we nae ovyo, unatongozwa afu unaitwa ukatongozwe zaidi unaenda, hujui kuweka limits.. ingekua mimi nisingekukubali ng'o, ungekuta replacement.. Mwanamke wa kweli anajiheshimu na anakua mkali kdg kulinda mali yake si kujiweka vulnurable
 
hiyo mikwara yenu huwa inatuumiza sana wallah
Kwako wewe hata mikwara siwezi kufanya... Ukionyesha usincere kdg tu nshakubeba..
Mtu ka wewe hutakiwi uguse chembe ya sadness, ukiwa bored kdg tunakimbia hata Machu Picchu kupunga upepo.
Ukitaka adrenaline stimulant hata skydiving tutafanya tu
 
Kwanza kabisa maelezo yako yana utata, kama unataka ushauri siriaz hebu angalia humo nilimobold na ujibu maswali yafuatayo

Kwanza; ulikuwa unajua kabisa mpenzi wako anakupenda na alikutimizia kila ulichohitaji (bold ya bluu), sasa kwa nini hukumweleza huyo jamaa kwenye simu kuwa haupatikani tayari una wako?

Pili; bold nyekundu, ulikubali kumsikiliza je ulikubali pia aliyokuambia? na wewe ulimweleza nini?

Tatu; Bold nyekundu pia, hicho alichokuambia jamaa na ulichomjibu ni maneno aliyoyasikia mpenzi wako, je kuna kingine pia alisikia? kama vile sauti za wewe kugegedwa au za jamaa akikugegeda?

Funguka dada usaidiwe
 

Usimhukumu dada,kwani ukishakuwa kwenye mahusiano na mtu mlokutana kimjini mjini huruhusiwi kuwa na mawasiliano na jinsia ya kiume??

We unawaza tu kugegedwa,Men you have to change banaa,usimnyime mwenzi wako uhuru kiasi hicho.
 
Ukiona anaendelea kunata we mpotezee,huenda alikuwa anatafuta sababu ya kukuacha,hawa wanaume sio wa kuwapa moyo wako asilimia 100%

Mpe 1%,wewe baki na 99%,that will be much safer for you.
 
kaapa hawez nisamehe.kanirekod mazungumzo yote.hata cjielew ndugu zangun.msaada jaman

My dear trulizana tu, huyo mmwanaume inawezekana amepata mtu mwingine ,sasa akawa anatafuta sababu ya kukuacha, kwa hio akatafuta kijana ambae atajifanya anakutongoza na ambae atahakikisha anarecord mazungumzo yoote mliokua mnaongea . wanaume wana mbinu nyingi sana za kumpiga mtu chini, huku wakijivua lawama. Jiulize swali moja aliwezaje kurecord mazungumzo yote mliyoongea na huyo kaka mwingine wakati hakuwepo eneo la tukio , endapo hakumtuma? Mbananishe huyo kaka ulieenda kuonana nae atakuambia ukweli. pole sana.
 
Umeona eeeh? Mliongea nini? Mlifanya nini? Manake haitoshi tu kumsikiliza.

Amesems hawakuonana ila huyo mchumba wake ndo alirecord mazungumzo yao ya kwenye simu
 

Mbona nyie mnakuaga vigeu geu sana..............na bado tunawasamehe kabisaaaaaaa
 
Kwako wewe hata mikwara siwezi kufanya... Ukionyesha usincere kdg tu nshakubeba..
Mtu ka wewe hutakiwi uguse chembe ya sadness, ukiwa bored kdg tunakimbia hata Machu Picchu kupunga upepo.
Ukitaka adrenaline stimulant hata skydiving tutafanya tu

hahaaaa maneno yako hayo daah mie hoi huku

I wish nilienae aniambie hata hayo maneno lakini yeye walaaaaaaa
 
Usimhukumu dada,kwani ukishakuwa kwenye mahusiano na mtu mlokutana kimjini mjini huruhusiwi kuwa na mawasiliano na jinsia ya kiume??

We unawaza tu kugegedwa,Men you have to change banaa,usimnyime mwenzi wako uhuru kiasi hicho.

Ila hapo inaonyesha huyo mjamaa nia yake ilikuwa hiyo na yeye kwenda haikuwa na umuhimu kabisaaaaaaaaaa
 
You dont love someone because he/she is perfect, u love them inspite of the fact they are not, i believe you boyfriend ana insecurity issues so mpe muda, if he truly loves u atakusamehe!

Mkuu wewe ndo umenena
 
Ila hapo inaonyesha huyo mjamaa nia yake ilikuwa hiyo na yeye kwenda haikuwa na umuhimu kabisaaaaaaaaaa

Mtu hakatai wito hukataa aitiwalo.

Kwa mtazamo wangu,huyo mchumba alikuwa anatafuta sababu ya kuamka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…