Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,063
Faiza??????Kiranga komo, mkome kuwafungulia kufuli watu ambao hamjaoana, wacheni uzinzi. Sasa nenda kapime kama hajakuachia nao, hizo ndio faida za zinaa.
Faiza??????Kiranga komo, mkome kuwafungulia kufuli watu ambao hamjaoana, wacheni uzinzi. Sasa nenda kapime kama hajakuachia nao, hizo ndio faida za zinaa.
Milele?siwezi kuongea nae milele kwanini anidanganye? Hata kama ananipenda kwangu umependo umekwisha atulie na mke wake
Usinywe SUMU YA PANYA unaweza usife mana siku hizi zinatengenezwa na wachina, jaribu KUSAGA CHUPA UNYWE ndio kidogo ina guarantee.nawaza sijuhi ninywe sumu ya panya nijiondoe duniani?
Alafu Latifa fuata hii link, inaweza ikakusaidia usiingizwe tena mjini, na ukipata nafasi utuambie kama hukuwahi kuona dalili kwa yeye kutokua muwazi sana, kutokukukaribishwa kwake na mambo kama hayo.
https://www.jamiiforums.com/mahusia...openda-kujikuta-wanafanikisha-infidelity.html
Ni "halafu" dada sio "alafu"..........tukosoane,turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane!
huyo mama Mchungaji'anakuchana ä live,Mx
ama kweli wewe ni popo bawaUsinywe SUMU YA PANYA unaweza usife mana siku hizi zinatengenezwa na wachina, jaribu KUSAGA CHUPA UNYWE ndio kidogo ina guarantee.
Hebu tuliza akili!!
Jaribu kuwasiliana nae kama huwezi kulea mimba na huyo mtoto, mweleze msimamo wako kuhusu mahusiano yenu.kumbuka anaweza kuwa alikuwa anakupenda kweli ingawa ana mke na watoto, wekeni utaratibu wa kulea hiyo mimba na mtoto.
Pili, pumzika na endelea kulea hiyo mimba usifanye maamuzi ambayo utajuta maisha yako yote kila la kheri. Ingawa ni ngumu kuamini upo na mt miaka miwili na unategemea kuolewa nae na hujui kama ana mke, labda ulikuwa hutaki kuamini hadi uone.
Pole sana hilo halikufanyi kutoa uhai wako, mahospitalini watu wanaangaika kuongeza siku za kuishi.
pole sana dada!Naombezi mawazo yenu wadau wote mtakaosoma hii thred.
Nimekuwa na mpenzi wangu kwa muda mrefu kama miaka 2 hivi, nimekua nikijihishemu kwa muda mrefu sijawahi cheat hata siku moja kwa vile nilikuwa namuamini sana. siku zote alinionyesha karidhika na mimi mpaka kwa wazazi wangu nilimpeleka anajulikana kwetu tukiwa kwenye process za kutaka kuoana nimekuja kugundua alikua ananidanganya kwa muda wote huo kumbe ana mke kibaya zaidi nina ujauzito wake.
Naombeni ushauri wenye hekima nifanyeje na hii mimba, sijawahi kufanya abortion naninaogopa san maana najua athari zake nawaza sijuhi ninywe sumu ya panya nijiondoe duniani?
au nikae tuu nizae ila nisimshirikishe maana sitaki hata kumtia machoni nimemchukia chuki mbaya nasijamueleza nimegundua alikua ananidanganya maana naona ili niwe na amani ni mfute kwenye aliki yangu na sitaki kesi nayeye maana naona kayatia maisha yangu dosari kaniletea aibu ambayo sijawahi kuitegemea kwenye familia yangu.
Kingine kuna wanaume ambao wananipenda kwa muda mrefu nilikuwa siwataki kwaajili yake hata mpaka sasahivi wanaendelea sasa nafikiria nichague mmoja nimweleze ukweli kuwa nina ujauzito wa mtu mwingine? na je kuna mwanaume anayeweza kumpenda mshichana katika hali hii?
Naombeni mawazo yenu wadau wote
Sidhani kama ni sawa. Aachane kwanza na wanaume wote, huyo alieoa amwache, na hao wengine aachane pia.yes...mwambie huyo mwingine una mimba na umeshaachana na aliekupa mimba
that is onee step
polee saana
Naombezi mawazo yenu wadau wote mtakaosoma hii thred.