Nimechanganyikiwa mpaka nakitamani kifo nisaidieni nifanyeje mimi

siwezi kuongea nae milele kwanini anidanganye? Hata kama ananipenda kwangu umependo umekwisha atulie na mke wake
Milele?
I doubt that.
Tambua ni mzazi mwenzio, na hilo halitabadilika.
Mungu kaumba kusahau hata hasira inafika kipindi inakuwa butu.
Usijiapize.
Wazazi wanajua.
 
nawaza sijuhi ninywe sumu ya panya nijiondoe duniani?
Usinywe SUMU YA PANYA unaweza usife mana siku hizi zinatengenezwa na wachina, jaribu KUSAGA CHUPA UNYWE ndio kidogo ina guarantee.
 
so sad indeed... hii issue ya mapenzi ni ngumu sana; yaani uko na mtu unaamini anakupenda kwa dhati; unampa kila kitu unachokithamini katika maisha yako kumbe yeye anakuchora tu akisubiri wakati muafaka wa kukuumiza... ushauri wangu fanya kila linalowezekana huyo jamaa atoe matunzo kwa mwanae; ukimwacha scot-free, hatajifunza kuwa responsible na matendo yake badala yake ataona poa tu kuendelea kuumiza watu wengine akijua kwamba he can get away with it
 
Pole dada yangu ila usije kujaribu kunywa wala kutoa mimba kwani Mungu hatukuagiza tufanye hivyo, cha msingi mpotezee tuu huyo jamaa maisha yaendelee..
 
Sikushauri utoe mimba (abortion), wapo wanaume watakukubali ulivyo na ulivyo navyo (kama mtoto)....tafadhali sana, ni wakati wa kujiandaa kuwa mama, omba msaada wa Mungu na utangulizi wake katika hili....wazazi wako wapo na hawatakukataa kuwa mtoto wao kwa sababu hii, usiongeze kosa juu ya kosa....!!Mungu akupe nguvu na ujasiri....Pole sana!
 
usije ukaitoa hiyo mimba,baadae utajuta tu.kwa sasa najua una hasira,kama kutokea yameshatokea,jipe muda mwenyewe,mkubali kiumbe aliekuwepo tumboni mwako,na usijali maneno ya nje,ila baadae huyo mtoto ni vizuri amjue baba yake,kwa manufaa ya huyo mtoto
 
ungekitamani usingekuwa jf leo tungekuwa tushwamaga RIP kibao
 
STOP EVERYONE! Mnaongeza zaidi diallema ya huyu dada. Anahitaji counciling lakini sio online. Anaetaka bora aonane nae ana kwa ana na mjaribu kulikabili hili janga kwa undani zaidi. Mnatoa ushauri ya juu juu wakati tatizo linahitaji ufahamu wa situation.
 
Hebu tuliza akili!!

Jaribu kuwasiliana nae kama huwezi kulea mimba na huyo mtoto, mweleze msimamo wako kuhusu mahusiano yenu.kumbuka anaweza kuwa alikuwa anakupenda kweli ingawa ana mke na watoto, wekeni utaratibu wa kulea hiyo mimba na mtoto.

Pili, pumzika na endelea kulea hiyo mimba usifanye maamuzi ambayo utajuta maisha yako yote kila la kheri. Ingawa ni ngumu kuamini upo na mt miaka miwili na unategemea kuolewa nae na hujui kama ana mke, labda ulikuwa hutaki kuamini hadi uone.

Pole sana hilo halikufanyi kutoa uhai wako, mahospitalini watu wanaangaika kuongeza siku za kuishi.

Naunga mkono kwenye bold..hata ukichanganyikiwaje, usijiue mana utapoteza maisha yako na mwenzio anadunda..

Tuliza kichwa, najua mawazo makali utakuwa nayo sana kwa sasa..lea huyo mtoto, unaweza kuolewa na mtu mwingine baadae. Usimbambikie mwanaume mwingine huyo mtoto. Pole kwa yaliyokukuta!
 
Naombezi mawazo yenu wadau wote mtakaosoma hii thred.

Nimekuwa na mpenzi wangu kwa muda mrefu kama miaka 2 hivi, nimekua nikijihishemu kwa muda mrefu sijawahi cheat hata siku moja kwa vile nilikuwa namuamini sana. siku zote alinionyesha karidhika na mimi mpaka kwa wazazi wangu nilimpeleka anajulikana kwetu tukiwa kwenye process za kutaka kuoana nimekuja kugundua alikua ananidanganya kwa muda wote huo kumbe ana mke kibaya zaidi nina ujauzito wake.

Naombeni ushauri wenye hekima nifanyeje na hii mimba, sijawahi kufanya abortion naninaogopa san maana najua athari zake nawaza sijuhi ninywe sumu ya panya nijiondoe duniani?
au nikae tuu nizae ila nisimshirikishe maana sitaki hata kumtia machoni nimemchukia chuki mbaya nasijamueleza nimegundua alikua ananidanganya maana naona ili niwe na amani ni mfute kwenye aliki yangu na sitaki kesi nayeye maana naona kayatia maisha yangu dosari kaniletea aibu ambayo sijawahi kuitegemea kwenye familia yangu.

Kingine kuna wanaume ambao wananipenda kwa muda mrefu nilikuwa siwataki kwaajili yake hata mpaka sasahivi wanaendelea sasa nafikiria nichague mmoja nimweleze ukweli kuwa nina ujauzito wa mtu mwingine? na je kuna mwanaume anayeweza kumpenda mshichana katika hali hii?

Naombeni mawazo yenu wadau wote
pole sana dada!
1.km bishanga alivyosema time is a great healer ,jifungue ulee mtoto na usiingiee kwny mahusiano kwasasa hivi bado ni mapema sana ila hao wanaume wanaokupenda wanaweza kuwa marafiki zako tu wa kawaida kwa sasa.
2.pamoja na kuwa hujawahi kufanya abortion kila kitu kina mwanzo wake ,,,yes ni kweli inacomplication lkn ni kwa case chache chache sana.....ukiweka mambo ya kiroho pembeni ,u can do it wewe mtafute mtaalamu mwenye uwezo ,usiifanye kienyeji.
3.ukiaamua kulea basi ni lazima mshirikiane na baba wa mtoto haina chaguo hapo.
kaa chini utafakari ,ila jua huu sio mwisho wa dunia na wala usijiue hatua yoyote utakayochukua zote ni sahihi tu kutoa au kulea.
 
sina ushauri wa kukupa ila chondechonde usijiue..nani kasema mimba au mtoto ni aibu hadi kujiua.
 
Kwani linapotokea tatizo kitu cha kwanza ni kuwaza mambo ambayo ni negative jamani, Latifa pamoja na hasira na chuki ulizonazo kumbuka kufanya kosa si kosa ila kurudia kosa ndio kosa sina maana ya kumtetea ila nina maana ya wewe kutatua tatizo kwanza, mwite mpe nafasi ya kujieleza na pia msamehe mjipange kwa ajili ya mtoto wenu ambaye mnamtarajia, mpe huyo mtoto nafasi ya kukaa na baba yake, kaeni chini mtatue tatizo.
USICHUKUE UAMUZI UNAPOKUWA NA HASIRA, jipe muda kwanza kisha tafakari mlipotoka na kama hilo ni kosa lake la kwanza ni jambo mnaloweza kuzungumza kama ni mwanaume mwelewa atakuja kukuheshimu sana.
Msiachane tafadhali zungumzeni kwanza, kuachana huwa ni hatua ya mwisho jamani.
 
yes...mwambie huyo mwingine una mimba na umeshaachana na aliekupa mimba
that is onee step
polee saana
Sidhani kama ni sawa. Aachane kwanza na wanaume wote, huyo alieoa amwache, na hao wengine aachane pia.
Akienda haraka anaweza kujikuta kaingia katika relation kwa nia ya kumkomesha au kumsahau huyo alie oa na haita msaidia chochote. Aachane kabisa na huyo mwanaume, na wala asimshirikishe kwa sasa katika mambo ya mtoto.
Mimba asitoe sababu kupata mtoto ni baraka toka kwa Mungu, na asione aibu kabisa. Aongee tu na wazazi wake pamoja na watu wa karibu. Kwa sasa priority yake iwe kumkaribisha huyo malaika duniani na kumjengea mazingira mazuri kwa kumlea.
 
Naombezi mawazo yenu wadau wote mtakaosoma hii thred.

Nimekuwa na mpenzi wangu kwa muda mrefu kama miaka 2 hivi, nimekua nikijihishemu kwa muda mrefu sijawahi cheat hata siku moja kwa vile nilikuwa namuamini sana. siku zote alinionyesha karidhika na mimi mpaka kwa wazazi wangu nilimpeleka anajulikana kwetu tukiwa kwenye process za kutaka kuoana nimekuja kugundua alikua ananidanganya kwa muda wote huo kumbe ana mke kibaya zaidi nina ujauzito wake.

Naombeni ushauri wenye hekima nifanyeje na hii mimba, sijawahi kufanya abortion naninaogopa san maana najua athari zake nawaza sijuhi ninywe sumu ya panya nijiondoe duniani?
au nikae tuu nizae ila nisimshirikishe maana sitaki hata kumtia machoni nimemchukia chuki mbaya nasijamueleza nimegundua alikua ananidanganya maana naona ili niwe na amani ni mfute kwenye aliki yangu na sitaki kesi nayeye maana naona kayatia maisha yangu dosari kaniletea aibu ambayo sijawahi kuitegemea kwenye familia yangu.

Kingine kuna wanaume ambao wananipenda kwa muda mrefu nilikuwa siwataki kwaajili yake hata mpaka sasahivi wanaendelea sasa nafikiria nichague mmoja nimweleze ukweli kuwa nina ujauzito wa mtu mwingine? na je kuna mwanaume anayeweza kumpenda mshichana katika hali hii?

Naombeni mawazo yenu wadau wote

unataka unywe sumu ili iweje? by the way jina lako(Latifa)ni la dini ile........... ambayo inaruhusu ndoa ya wake wasiozidi wanne,sasa hapo tatizo lako liko wapi? pigeni kitu cha ndoa ya mkeka mambo yaishe kimyakimya.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom