Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,604
. . . . . .
siasa ya chuki imekukolea hata ukipata me ntachukia
siasa ya chuki imekukolea hata ukipata me ntachukia
siasa za chuki na hili swala vina uhusiano gan? By the way tangu uanze kunichukia sijawah pata matatzo yoyote yale ya kiuchumi wala kiafya

JF raha sana yaani unaweza kumchukia mtu usiyemfahamu??!"""
Naona TOPIC 3 za heading hii hii na mwanzishaji huyu huyu. What is so special? Umepona UKIMWI!
unajuaje kama wanafahamiana hao huweizi jua ila huyo ndugu anayemchukia mwenzake ana matatizo sana inabidi apelekwe kwa saikolojisti
hiyo thread nakumbuka niliweka mm ila kuna wadau wakaponda kishenzi! big up mdogo wangu kasome ujikomboe, ila kumbuka kutupa mrejesho basiNilikuta tangazo hapa jamiiforums la kitengo cha uwezeshaji ofisi ya waziri mkuu young graduate entrepreneurship clinic ambapo training itafanyika udsm j3 ya tar13 mwezi huu, wamechagua watu 40. Nashukuru sana kwa aliyeweka lile tangazo, nitarudi kuwapa feedback kama hiyo kuna faida au tumepoteza muda na nguvu zetu.
.
siasa ya chuki imekukolea hata ukipata me ntachukia