Nimechaguliwa Mwanalugali Secondary school nahitaji kufahamu kuhusu shule hiyo tafadhali

Neo_Trapper

Member
Sep 21, 2021
27
39
Habari zenu wanajukwaa hili?

Bila shaka hamjambo?

Aise naomba niende straight kwenye point mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Shinyanga.

Nilimaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati nzuri nilipita kwenye chujio na point 15, nikawa nimechaguliwa pale MWANALUGALI SEC SCHOOL shule ipo KIBAHA TC- PWANI na ina michepuo miwili tu yaani HGL na PCM sasa mimi nimechaguliwa PCM.

Naombeni usaidizi wa taarifa kuhusu ueledi wa shule hiyo kwa waliowahi kusome hapo na kama kuna mwanafunzi amechaguliwa hapo tufahamie please.

Ahsanteni.
 
Nilimaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati nzuri nilipita kwenye chujio na point 15, nikawa nimechaguliwa pale MWANALUGALI SEC SCHOOL shule ipo KIBAHA TC- PWANI na ina michepuo miwili tu ya sayansi yaani HGL na PCM sasa mimi nimechaguliwa PCM.

Naombeni usaidizi wa taarifa kuhusu ueledi wa shule hiyo kwa waliowahi kusome hapo na kama kuna mwanafunzi amechaguliwa hapo tufahamie please.

Ahsanteni.
Jifunze kuamkia baba na mama zako
 
Habari zenu wanajukwaa hili?

Bila shaka hamjambo?

Aise naomba niende straight kwenye point mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Shinyanga.

Nilimaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati nzuri nilipita kwenye chujio na point 15, nikawa nimechaguliwa pale MWANALUGALI SEC SCHOOL shule ipo KIBAHA TC- PWANI na ina michepuo miwili tu yaani HGL na PCM sasa mimi nimechaguliwa PCM.

Naombeni usaidizi wa taarifa kuhusu ueledi wa shule hiyo kwa waliowahi kusome hapo na kama kuna mwanafunzi amechaguliwa hapo tufahamie please.

Ahsanteni.
Nenda shule utayajuwa huko. Ni kupoteza muda kutaka kujua ukweli wa shule kupitia JF
 
Habari zenu wanajukwaa hili?

Bila shaka hamjambo?

Aise naomba niende straight kwenye point mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Shinyanga.

Nilimaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati nzuri nilipita kwenye chujio na point 15, nikawa nimechaguliwa pale MWANALUGALI SEC SCHOOL shule ipo KIBAHA TC- PWANI na ina michepuo miwili tu yaani HGL na PCM sasa mimi nimechaguliwa PCM.

Naombeni usaidizi wa taarifa kuhusu ueledi wa shule hiyo kwa waliowahi kusome hapo na kama kuna mwanafunzi amechaguliwa hapo tufahamie please.

Ahsanteni.
Nenda fesibuku, huku kuna baba zako, mama zako, bibi zako na babu zako....
 
Hii shule ipo karibu na Kibaha boys sec school ambayo ni special school, ukiwa mjanja unaweza pata rafiki pale ukahamia kbs kwenda kupiga pindi pale na maisha yakaenda poa. Kuna watoto wakali sana eneo lile..anyway kapige pindi.
 
We nenda kasome, rudi Dar upige tuition.

Tafuta papers piga, utatoboa
 
Nenda fesibuku, huku kuna baba zako, mama zako, bibi zako na babu zako....
Hivi mbona jf na fb zote haziitaj Elim, umri wala pesa nyingi.
Kuna watu mmeumbiwa utemi na kupenda kufanyiwa ibada, Salam ya jf unafaidikaje nayo wewe?
Nashauri sana ukiweza kumwelewa mtoa mada ndo ucomment vinginevyo mpuuze kabisa.
Userious usio na maana ni Stress tu.
 
Back
Top Bottom