Nimechaguliwa

Interveiw imefaulu...cha makeke ndenda kwanza ukipata kazi ndio urudi kusema. Watu hawatangazagi kabla hawajaoa au kuolewa unaweza shangaa hata hiyo harusi usiione. Mume au mke akawa wa mwingine.tehee
 
achana naye huyo anakusababishia shinikizo la damu bure muache kama alivyo kwani hujui kuwa watu wengine hutumwa kuwachukia wenzao bila hata sababu achanane nae kabisa wewe endelea mbele na kazi buti besst
siasa za chuki na hili swala vina uhusiano gan? By the way tangu uanze kunichukia sijawah pata matatzo yoyote yale ya kiuchumi wala kiafya
 
yea yeah uko sahihi but kwanini chuki zao wazilete huku jamani??? Prove me wrong Dear.....kweli ugomvi wao unatuhusu nini sie??
unajuaje kama wanafahamiana hao huweizi jua ila huyo ndugu anayemchukia mwenzake ana matatizo sana inabidi apelekwe kwa saikolojisti
 
Nilikuta tangazo hapa jamiiforums la kitengo cha uwezeshaji ofisi ya waziri mkuu young graduate entrepreneurship clinic ambapo training itafanyika udsm j3 ya tar13 mwezi huu, wamechagua watu 40. Nashukuru sana kwa aliyeweka lile tangazo, nitarudi kuwapa feedback kama hiyo kuna faida au tumepoteza muda na nguvu zetu.
.
hiyo thread nakumbuka niliweka mm ila kuna wadau wakaponda kishenzi! big up mdogo wangu kasome ujikomboe, ila kumbuka kutupa mrejesho basi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom