Nimetumiwa SMS kutoka TAESA kuwa nimechaguliwa Idara ya Huduma za Uangalizi

Afu mm sijataka kujua kama napigwa au la! Nahitaj kujua kuhusu hyo idara bro mbona watu mliopo kwenye system mnazingua Sana sisi ndo kwanza tunatafta at
Uliwahi kuona dunia gani kitu hujaaply halafu unaambiwa umechaguliwa?

Wana tofauti gani na tatu mzuka namba yako umeshinda droo ya kushindania million 10? Tuma sms kwenda namba........

Hapa kinachotafutwa ni hiyo senti yako ya SMS, wakiwapata wajinga million 1 tu wanatembelea tako la nyani.
 
Nyendo zako zinaonekana sio sahihi kabisa. Aisee kuna watu wanatafuta kazi za kweli wewe unafanya masihara.

Inabidi wakutumie nyingine ya kusitisha. Inawezwkana vipi usijue unachoenda kukifanya huko wakati kazi umeomba mwenyewe?

Unaweza kuwakosesha wenzako ajira kwa masihara kama haya. its not fair.
 
Kama hujui jambo bora ukae kimya kuliko kutoa majibu yasiyo na maana wala uhusiano, huijui Taesa kaa kimyq utaonekana wa hovyo aisee!
 
Nyendo zako zinaonekana sio sahihi kabisa. Aisee kuna watu wanatafuta kazi za kweli wewe unafanya masihara.

Inabidi wakutumie nyingine ya kusitisha. Inawezwkana vipi usijue unachoenda kukifanya huko wakati kazi umeomba mwenyewe?

Unaweza kuwakosesha wenzako ajira kwa masihara kama haya. its not fair.
Kule Taesa unajisajiri halafu uklnaka unatulia siku ya siku wao wanapitia file yako wakipata nafasi wanakuita kwa sms au simu au email,mwandishi hajakata kazi kauliza hiyo idara unahusiaka na nini ?

Sasa kosa lake liko wapi mkikosa majibu mnatafuta majibu yenu ili muonekane mnajuwa kila kitu.
 
Mkuu nenda ofisi zao kwa maelezo zaidi.

Humu hakuna anaejuwa watakuboa tuu.
 
Mafanikio ya sms tu dogo?
Hauko siriaz hata kidogo.
Kusaka mshahara wa bongo mao mafanikio?
Kua uyaone
Wewe hata TaESA huijui halafu unaongea sana utadhani wewe ndo mkurugenzi.

Hizo fikra za kushindwa ni mzigo zituwe!

Ungejuwa maana ya swali la muulizaji usingeandika utumbo wako huo!
 
Back
Top Bottom