Kati ya bachelor degree in wildlife management na Bachelor degree in health information science ipi bora zaidi kuisoma?

mkomb

Member
Aug 31, 2023
21
31
Habari zenu Wana jukwaa,

Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita nime chaguliwa vyuo viwili tofauti, chuo kimoja nimechaguliwa course ya BSc wildlife management, chuo kingine nimechaguliwa course ya BSc health information science.

Je, ni course gan Bora katika course tajwa hapo juu. Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom