Nimebaki njia panda juu ya huyu mrembo

Nimebaki njia panda juu ya huyu mrembo

lkn bado mm ndo nina maamuzi maana nikihitaji huduma napewa labda cha msingi ni kwamba kwanza dogo ni level ya chini kiasi kwamba nilimpa golden chance kwa sababu ya tabia yake na sikuwa na nia ya kumchezea ama kumtenganisha na m2 wake thus why nawakaribisha tushauriane

1. mambo ya level yanakujaje baada ya kutemwa?
2. ulimpa golden chance...ina maana alikubembeleza awe nawe?
3. nia yako sio kumtenganisha na mtu wake. okay kwa nini usimwache na mtu wake mapemaaaa?
"other people bwana, you can't them" ha ha ha haaaaaaaaa!
 
kiufupi sijashindwa kumuacha wala sishindwi kugegeda km nitahitaji ila swala ni moja kwamba nia yangu ya dhati ya kuishi nae ndio kikwazo lkn all in all sishangai kutemwa maana hakuna m2 anaeweza kupendwa na kila m2
 
well said
 
jamani weee eewe Lady doctor . Unankumbuka hadi ukiwa mbali hivyo!
 
Last edited by a moderator:
wewe endelea kupata huduma ya k ya bure hadi hapo atakapoamua kusitisha huduma hiyo.
Ila endelea kwa bidii zote kutafuta pesa
 
Kashakuambia ukweli achana naye..

Ila kama anaendele kukupa huduma ya kugegedena, itumie tu mpaka pale mambo yatakapo kaa sawa au huduma itakapositishwa

Hahahaha mkuu umeni furahisha sana. Eti mpaka huduma itakapo sitishwa. All i can say is that hawa madogo most of them bado utoto mwingi. They need some time to be well matured physically, mentally & emotionally.
 
kwani picha yangu si unayo kwenye wallet yako Lady doctor ?
 
Last edited by a moderator:
wewe endelea kupata huduma ya k ya bure hadi hapo atakapoamua kusitisha huduma hiyo.
Ila endelea kwa bidii zote kutafuta pesa
nimeupenda ushauri wako kilichobaki nichanganye na za kwangu then mambo yaendelee
 
Pole sana mkuu,ila huenda ulikurupuka na njaa zako za kuwa na mpenzi!!!!
All in all,muache kwa mikono safi aende zake kwani hautapungukiwa kitu.Concentrate on ur business,hustle..hustle and ur dreamgal will come muda ukifika!!!
 
Jamani kuishi ni kujifunza imetokea nimempenda sana binti wa kitaani kwetu form four leaver kutokana na tabia yake nikamweleza ukweli kwamba nitamuoa baada ya mm kuwa nimekamilisha mambo yangu ya kusaka note coz ndo nimemaliza chuo binti kanikubalia tumeingia kwenye mahusiano vizuri yapata miezi mitatu sasa lkn ghafla jana binti kaniita kuwa ana mazungumzo na mm kwenda binti ananiambia kuwa yy alikuwa na mchumba wake ambaye kwa sasa yuko masomoni znz na tayari posa ilishatolewa kwao na hivyo ameamua kuniambia ukweli na akaenda mbele zaidi kwa kusema kuwa anajisikia vibaya kumsaliti mmewe mtarajiwa sasa nilibaki nashangaa kwa nn hakunimbia tangu mwanzo nilivyomuuliza hilo swali akasema alikuwa ananionea huruma nikamwambia ok fine usikilize moyo wako. Ebu wadau naombeni mchango wenu wa mawazo kuhusu hili na nn nifanye either nimteme ama niendelee kugegeda ama anzingua tuu baada ya kuona sina kazi? ushauri please
Wewe achana nae ila kama unataka kushushwa mshipa endelea nae.
 
mimi ya kwangu ilikuwa kama vile''friends with benefit'',,,hakuniambia kama ana jamaa..mpaka siku nilipompigia, jamaa yake akapokea ndio nikaja kujua wako pamoja toka kitambo...daah nilishusha pumzi nzito ....maana nlikosa pozi...
 
.....ama anzingua tuu baada ya kuona sina kazi?
Yaah ni kwa kuwa hauna kazi, kuwa jobless ni sumu kwa wanawake, hata mke wa ndoa ya milele huwa wanatimka ukipata kazi huwa wanarudi ki-style. Siku hizi wanamsemo wao eti "Mwanaume ni pesa, sura tutavumiliana" na "Mwanamke ni sura, tabia tutavumiliana"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom