Nimeanza maisha mapya kama Vegan

Kwenye hii dunia kila mtu aishi anavyotaka, binafsi siwezi kuacha kula nyama...ni tamu sana. Hapa penyewe nimetoka kula ugali na kuku wa kienyeji.

Kuna rafiki yangu mmoja aliposti status ngamia akiwa anachinjwa kwa chini akaweka maneno kuwa hiyo video imemuumiza na hatokula nyama tena. Siku moja nikaenda kumtembelea nikakuta kapika ugali nyama, nikamuuliza mzee vipi, si ulisema umeacha kula nyama? Akanambia "Naachaje kula nyama mzee!!?"πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Jitahidi upunguze zaidi.. iwe labda kwa wiki unakunywa 4. Haina faida kabisa kwako..
Binafsi sipendi soda kabisa, chupa la soda naweza kunywa 1hour++
Nna kipindi kibovu sana...nataman ntaweza lakinj
 
That's it πŸ‘ŒπŸΎ kila mtu aishi maisha anavyotaka.
 
Kabla sijakuunga mkono kwa uamuzi wako naomba kujua faida zake kimwili na kiroho pia...
 
Kabla sijakuunga mkono kwa uamuzi wako naomba kujua faida zake kimwili na kiroho pia...
Faida ni nyingi hakika maradhi ya sukari, shinikizo la damu, inflammation, matatizo ya ngozi, hali ya umakini, kutokuwa/kupunguza stress and so many more. Kiroho ni nguvu zaidi baina ya roho, nafsi, nature na muumba hakuna doubt wala vikwazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…