Nimeanza kujifunza uchawi!!!

Nimeanza kujifunza uchawi!!!

Baada ya jitiada za muda mrefu kidogo hatimaye nimefanikiwa kumpata mwalimu wa uchawi. Nimeanza kusoma wiki mbili zilizo pita. Lengo langu ni kuzijua vyema siri za adui shetani ili niweze kuwasaidia watanzania wenzangu, kujua njia mbalimbali za kukabiliana naye....Sun Tsu said"know thy enemy as you know yourself and in a thousand battles you willnever be in jeopardy." Kwa hizi wiki mbili za kujifunza uchawi, nimegundua kuna uchafu mwingi sana kwenye uchawi..

sasa kaka mchawi,hivi mnawezaje kukesha usiku kucha afu asubuhi hata hamsinzii?
 
Ni vizuri kujifunza ili ukijua kuwa hauna maana ugeukie kutafuta njia sahihi.
 
Ama kweli tatizo la ajira kwa vijana ni bomu.
 
Baada ya jitiada za muda mrefu kidogo hatimaye nimefanikiwa kumpata mwalimu wa uchawi. Nimeanza kusoma wiki mbili zilizo pita. Lengo langu ni kuzijua vyema siri za adui shetani ili niweze kuwasaidia watanzania wenzangu, kujua njia mbalimbali za kukabiliana naye....Sun Tsu said"know thy enemy as you know yourself and in a thousand battles you willnever be in jeopardy." Kwa hizi wiki mbili za kujifunza uchawi, nimegundua kuna uchafu mwingi sana kwenye uchawi..

Badilisha hiyo avatar na umtafute Mungu vinginevyo Kufa utakufa mwili nafsi na roho!.. Njia ya kuwasaidia watu ni kujifunza neno la Mungu kwa njia ya Yesu Kristo pekee ambaye kila mwenye roho ya shetani kama waislamu na wachawi wote wanamchukia kwa sababu hawamwezi!.

Ukitaka kupona na uwasaidie watu, acha ushetani huo mara moja mtafute Yesu wa Kweli, utubu dhambi na kuziacha, uanze kumcha Yeye peke yake, ujifunze Neno la Mungu katika Biblia linasemaje, upate Nguvu ya Roho Mtakatifu ndipo utakapopata nguvu mpya ya kukuponya na kuwasaidia watu! Na udumu katika Mungu. Bila hivyo unakufa kifo kibaya sana!.
 
ANGALIZO:Mambo haya ya kupenda kujifunza mambo ya hovyo ipo siku tutasikia mtu anajifunza ushoga!
Hata kile unachokiita kibaya au sumuvkwa leo kumbuka kiwa kilionjwa. Tatizo hali liwe ni kama atakuqa mchawi ndiyo mbaya lakini kama ataujua uchawi kunavubaya gani? Maana yeye atakuwa anajua kuutegua tu kila unapotegwa.
 
Asante sana kaka kwa hizi link, hope itanisaidia sana. More links please
603649_427664367277381_1016713301_n.jpg

JINI CLAUNECK;

Jini huyu ana Nguvu na Mamlaka juu ya Vitu na Utajiri,

Anaweza Kuvumbua Hazina iliyofichwa, kwa yeyote atakayeweka Mkataba nae,

Ana uwezo wa Kumzawadia Mtu Utajiri mkubwa kwani yeye anapendwa sana na Lucifer,

Ana uwezo wa kukuletea Pesa kutoka mbali,

Mtii naye atakutii!

Je unahitaji kuzungumza nae?

Jinni Ifreet.Jini aliyeleta internet tunayotumia leo.

Jinni Afrit Jini aliyekuwa na firaun wakati mwingi.

Jinni Ghoul.Jinni la jangwani.Jini baya hili

Hakuna dini inayo ruhusu uchawi wala kufundisha uchawi kama ipo basi si ya mungu huyu wa vitu vyote duniani.
 
ndugu umetoa wapi hizo picha au na wewe ulisomea mambo ya uchawi nini
603649_427664367277381_1016713301_n.jpg

JINI CLAUNECK;

Jini huyu ana Nguvu na Mamlaka juu ya Vitu na Utajiri,

Anaweza Kuvumbua Hazina iliyofichwa, kwa yeyote atakayeweka Mkataba nae,

Ana uwezo wa Kumzawadia Mtu Utajiri mkubwa kwani yeye anapendwa sana na Lucifer,

Ana uwezo wa kukuletea Pesa kutoka mbali,

Mtii naye atakutii!

Je unahitaji kuzungumza nae?

Jinni Ifreet.Jini aliyeleta internet tunayotumia leo.

Jinni Afrit Jini aliyekuwa na firaun wakati mwingi.

Jinni Ghoul.Jinni la jangwani.Jini baya hili

Baada ya jitiada za muda mrefu kidogo hatimaye nimefanikiwa kumpata mwalimu wa uchawi. Nimeanza kusoma wiki mbili zilizo pita. Lengo langu ni kuzijua vyema siri za adui shetani ili niweze kuwasaidia watanzania wenzangu, kujua njia mbalimbali za kukabiliana naye....Sun Tsu said"know thy enemy as you know yourself and in a thousand battles you willnever be in jeopardy." Kwa hizi wiki mbili za kujifunza uchawi, nimegundua kuna uchafu mwingi sana kwenye uchawi..

kaka umenitamanisha, je waweza kuniunganisha nami ....?
 
Hii imekaa kama tangazo la biashara hivi!
 
Back
Top Bottom