NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,440
- 2,450
Mwakani omba boom.
'kwani umeambiwa wanatoa boom uko asee...'
Mwakani omba boom.
Baada ya jitiada za muda mrefu kidogo hatimaye nimefanikiwa kumpata mwalimu wa uchawi. Nimeanza kusoma wiki mbili zilizo pita. Lengo langu ni kuzijua vyema siri za adui shetani ili niweze kuwasaidia watanzania wenzangu, kujua njia mbalimbali za kukabiliana naye....Sun Tsu said"know thy enemy as you know yourself and in a thousand battles you willnever be in jeopardy." Kwa hizi wiki mbili za kujifunza uchawi, nimegundua kuna uchafu mwingi sana kwenye uchawi..
nimeipenda sana

Actually nita specialize kwenye necromancy..Kufufua misukule ni kitu kidogo sana katika uchawi!
Ebu muulize kama ana dawa ya kuiba hela Bank bila ya kukuona.
Baada ya jitiada za muda mrefu kidogo hatimaye nimefanikiwa kumpata mwalimu wa uchawi. Nimeanza kusoma wiki mbili zilizo pita. Lengo langu ni kuzijua vyema siri za adui shetani ili niweze kuwasaidia watanzania wenzangu, kujua njia mbalimbali za kukabiliana naye....Sun Tsu said"know thy enemy as you know yourself and in a thousand battles you willnever be in jeopardy." Kwa hizi wiki mbili za kujifunza uchawi, nimegundua kuna uchafu mwingi sana kwenye uchawi..
Ukianza kozi ya kuruka na ungo,pita nao pale Kawe uwanja wa Tanganyika Packers
Kama kuna uchafu sasa si uache kujifunza.Watu mna matatizo,yaani unajipeleka kwa Shetani mzima mzima,anawacheka kweli kweli.Baada ya jitiada za muda mrefu kidogo hatimaye nimefanikiwa kumpata mwalimu wa uchawi. Nimeanza kusoma wiki mbili zilizo pita. Lengo langu ni kuzijua vyema siri za adui shetani ili niweze kuwasaidia watanzania wenzangu, kujua njia mbalimbali za kukabiliana naye....Sun Tsu said"know thy enemy as you know yourself and in a thousand battles you willnever be in jeopardy." Kwa hizi wiki mbili za kujifunza uchawi, nimegundua kuna uchafu mwingi sana kwenye uchawi..