Nimeanza kujifunza uchawi!!!

Nimeanza kujifunza uchawi!!!

Kinga yake ni nini kaka Mchawi? Ukisikia jina la Yesu katikati ya Uchawi athari zake ni nini? Ni mtu wa aina gani ambaye harogeki na ni yupi anayerogeka kirahisi? All the worst kaka mchawi

Wachawi wamejaa makanisani, wengine ni viongozi wa makanisa
 
we rukaruka tu wakujarbishe uone jambo. Ohooo!!!
 
Mkuu wa mapepo, Lucifer alimchukua Yesu akaenda naye mlimani na kumjaribu kwa muda wa siku arobaini. Mkuu wa mapepo aliwahi kuishi mbinguni na Mungu, anamfahamu Mungu kuliko unavyo mfahamu wewe, alifanikiwa kuwashawishi theluthi ya malaika wa mbinguni wakamuasi Mungu, ana uwezo wa kuvuruga mipango ya Mungu, anaongea na Mungu katika namna ya kirafiki zaidi. Unadhani wewe ni bora sana kuliko huyo mkuu wa mapepo?
ndio mimi ni bora zaidi yake kwa kuwa nimekombolewa na damu ya YESU aliyemshinda shetani pale msalabani
 
Baada ya jitiada za muda mrefu kidogo hatimaye nimefanikiwa kumpata mwalimu wa uchawi. Nimeanza kusoma wiki mbili zilizo pita. Lengo langu ni kuzijua vyema siri za adui shetani ili niweze kuwasaidia watanzania wenzangu, kujua njia mbalimbali za kukabiliana naye....Sun Tsu said"know thy enemy as you know yourself and in a thousand battles you willnever be in jeopardy." Kwa hizi wiki mbili za kujifunza uchawi, nimegundua kuna uchafu mwingi sana kwenye uchawi..
Kila fani ina miko yake sina uhakika ya miko ya wachawi lakini ninauhakika ukiukaji wa miko yao madhara yake ni makubwa sana hivyo basi kuwa mwangalifu sana maana unaweza kudhani wewe ndiye mjanga lakini ukaja kuta wao ndiyo wajanja zaidi.
 
Ni sawa uamuzi uliofikia ila kwa upande wangu ungemtafuta Mungu kwa udi na uvumba kwani yeye anaweza zaidi ya shetani ingawa shetani anamfahamu Mungu zaidi yetu binadamu na ndio maana alishushwa na kufungiwa kizimu sasa endapo ukimtafuta Mungu kwa roho na kweli ndipo utaweza ona ni jinsi gani shetani anavyotesa binadamu na uweze kuwasaidia ila huko unakwokwenda sidhani kama upo sahihi ni mtazamo wangu tu..
 
Know thy enemies as you know thyself!
 
Kila fani ina miko yake sina uhakika ya miko ya wachawi lakini ninauhakika ukiukaji wa miko yao madhara yake ni makubwa sana hivyo basi kuwa mwangalifu sana maana unaweza kudhani wewe ndiye mjanga lakini ukaja kuta wao ndiyo wajanja zaidi.

Ndinachi !
 
mwenye ramani ya lamadi ampe huyu akafufue misukule akishahitimu!
 
Baada ya jitiada za muda mrefu kidogo hatimaye nimefanikiwa kumpata mwalimu wa uchawi. Nimeanza kusoma wiki mbili zilizo pita. Lengo langu ni kuzijua vyema siri za adui shetani ili niweze kuwasaidia watanzania wenzangu, kujua njia mbalimbali za kukabiliana naye....Sun Tsu said"know thy enemy as you know yourself and in a thousand battles you willnever be in jeopardy." Kwa hizi wiki mbili za kujifunza uchawi, nimegundua kuna uchafu mwingi sana kwenye uchawi..

Ukifuzu ntakuja unifundishe tuition ya kuroga wabunge, wengi nina hasira nao..
 
mwenye ramani ya lamadi ampe huyu akafufue misukule akishahitimu!

Actually nita specialize kwenye necromancy..Kufufua misukule ni kitu kidogo sana katika uchawi!
 
Back
Top Bottom