magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,047
- 34,475
Kwa muda mrefu nimekua nikifikiria huu mda tunaotumia kutunga sms za wazo la leo tungeulekeza kwenye kufikiri kubuni kitu kipya ambacho kitakuletea manufaa sidhan kama yule dogo wa UK aliyetengeneza ile application ya habari angekua anafikiria huu upuuzi wa HATA PUNDAMILIA ANA MISTARI LAKIN HAINGII asingefanikiwa! Watanzania inaonekana tuna muda mwng sana wa kupoteza afu badae tunalalamimika si maskini tubalikeni ndugu zangu tutumie akili zetu kubuni vitu vyenye tija!