Nimeanza kuchukia sms za wazo la leo

Nimeanza kuchukia sms za wazo la leo

Wazo la leo. Hata uwe kauzu vipi hauwezi
kujamba wakati
unatongoza!

!!!!
 
Wazo la leo
kuwa na mtoto mbaya ni mipango ya mungu lakin kuwa na demu mbaya ni uvivu wa kutongoza
 
Back
Top Bottom