amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,298
Hao hata ukiwakopesha bila riba hawalipi.Ntawauliza ila huwa nawaonea huruma mno maana wanapelekeshwa vibaya mno na riba sio rafiki kwao mpka natamani kuwakopesha, ila nao wajeurii mpka amsha amsha
Ni wana madeni kila kona, hata ukiwaelimisha kuhusu mikopo watakusikiliza ili wachukue pesa, wakishapata ndo nitolee hiyo