makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,597
👎👎👎Baada ya kuacha unauwakika na PEPO?
Asante
👎👎👎Baada ya kuacha unauwakika na PEPO?
Asante
Piga hesabu ya 20% ya hiyo pesa unakopesha then gawanya kwa idadi ya siku upate hesabu nzuri.Ulitaka alete ngapi mkuu mbona vidole juu?
Oga dawaHabari za asubuhi JF people?
Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha.
Watu ninaoanza nao ni waaminifu sana nawafahamu. Kwa kuanza tu nimeamua kuwapa mkopo wa masharti haya:
Jana nimetoa elfu 40, after two weeks ilete Riba ya Tshs 28,000
- Kwa kila shilingi elfu 10, irejeshe Sh 500 kila siku.
- Mkopo utakaa siku 14.
Je, nipo sahihi au najiumiza kwa kiwango nilichoweka?
Je, nikipandisha kwa kila elfu 10 izae buku kila siku nitakosea?
Note: Mteja wangu ni mama ntilie
Nakazia aoge dawa vizuri...la sivyo Kuna kitu kitampata huko mbeleniOga dawa
2,weka mfuatiliaji
3,usitoe mkopo bila poni(bondi)
4,akunakuchekea wateja kama biashara zingine
5,serikali lazima ikutambue ili isitokee shida
6,usikopeshe mtu ambaye ana kazi.
7,usipende kuongeza riba au faini kwa mtu aliye chelewesha rejesho
8,usicheke na wateja
9usicheke na wateja
10,usicheke na wateja
11,usicheke na wateja
12,usicheke na wateja