unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 477
Nimeku text PM!Inawaka vizuri sana mkuu
mwenye mali katoka kunipigia sasa hivi anaomba nimpe mda
Mi sina cha.mswalie mtume.. anipe riba 20,000 aendelee na mkopo wake ambao ni 50,000.
hio riba kaenda nayo wiki 2 bila kulipa



