Mkuu kachape kazi. Binafsi nilipoacha kazi kwenda wilayani wengi walinishangaa kwa nini naacha salary ya 500,000 kwa mwezi naenda 'porini' kuchukua 320,000 kwa mwezi! Uzuri kule 'porini' nikawa natengeneza zaidi ya 300,000 kwa mwezi mbali na salary. Good enough kuanzia January 2012 ntakuwa nakamata 1,200,000 kwa mwezi. Mkuu nenda kaijue Tanzania, huko utapanuka akili na kujua opportunies nyingine za kuwekeza toafauti na dar ambako uwekezaji pekee ni duka la nguo, saloon au bar.