Nimeamua kuwa wazi, siogopi polisi wala CCM na serikali yake

Mkuu..
Wajinga ndio waliwao, badala ya kuhamasisha watu wajitume kwa kuchapa kazi kwa maendeleo ya taifa wao wanahamasishamapambano na serikali
wachape kazi wapi?waajiriwa mishahara midogo,wafanya biashara wa kati wanabanwa kila kona,wafanyabishara ndogo2 kila kuchicha wanafukuzana na mgambo,kwenye madini wawekezaji ndo wenye umuhimu,wazawa hawana chao,waokula nchi ni viongozi na wafanyabiashara wakubwa ambao wengi wao ni viongozi na watoto wao,sasa huyo wa kuchapa kazi ni wa wapi?
 
Mkuu Dumelang,hapo kwenye red hapo si adhabu stahiki kwa wakosefu......hebu mpe strategy nyingine huyo kiongozi mwenye hasira za kutosha hapo juu.

Okey! lakini hata mungu huwaadhibu watu kupitia makosa ya wazazi wao, ukisoma bible utajua, sisi tunatumikia adhabu ya adamu na hawa lakini pia mungu aliwai kuwaambia waisraeli na wapatiliza wana makosa ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao..anyway nimekusoma mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hakuna haja ya kujitowa muhanga tukifanya hivyo hatutakuwa tofauti na kile kinachofanywa na polisi.kura zetu tukizitumia kwa uaminifu zina nguvu kiasi cha kuweza kung'oa hata mlima Kilimanjaro.

kura gani ambazo unategemea CCM inaachia nchi? Tusitegemee ballot box hata siku 1 kwa kura za urais kwani CCM wapo tayari kutumia gharama yeyote, so hata haya tunayoyaona ni ishara tosha kwamba CCM wapo tayari kusupres mabadiliko yeyote, so ni muda sasa wa CHADEMA na umma kwa ujumla kujiandaa na kuwa tayari kwa mapambano, na ni vyema CDM wakawapa vyeo vya juu Godbless Lema na Ben saanane ktk mapmabno haya kwani ndio atleast wanaonekana ni maradicals in nature na wenye ujasiri.

Fear not.
 
Hii ni thread ya kichochezi na nashangaa kwanini mods wameiacha hadi saizi.

acha ubwege na utoto wa mama ww gamba! Mara hii tu mmeshaanza kuogopa 2 na ilihali bado ni keyboard battle! Sasa je tukitoka nje si ndio mtakimbia hii nchi.

The struggles Aluta continua.

FEAR NOT.
 
nasubiri no ili nikupigie tupange mikakati.

nimesubiri namba sijaiona. Suggest sehemu ya kukutana, saa ngapi na lini. Hakuna haja ya namba

weka basi namba yako ya simu.

kaka kuwa na subira,nimesema nitaweka namba zangu saa 8:05 mchana huu

wewe sema siku rasmi ya kuanza mafunzo ya kijeshi na namna ya kutengeneza siraha ili mapambano yaendelee kimya kimya!!

JF commedians????. Chonde chonde, najua mnafanya utani, lakini matani mengine mabaya, wenzenu wanawachukulia serious. Halafu ukipenda matani ya kujinyonga utakuja kujinyonga kweli. Ooooh! Nyie endeleeni. Nakumbuka maneno aliekua makamu wa raisi mpole kua, nyimbo mbaya haimbiwi mtoto. Maanake na yee aitaimba mbele ya wageni. Au itamletea laana.
 
Kuna siku niliandika humu nikiomba wanjf tuungane kupinga huu udhalimu na hata ikibidi tuunde chama cha ukombozi,waliojibu kwa ustaarabu walikuwepo,kama kawaida sikukosa waliotumia viuno kufikiri,lakini mwisho bwana mmoja akasema haiwezekani tukaungana huku tukishuhudia tofauti za kiitikadi ndani ya wanajf wenyewe.Partly nakubaliana nae.

Misri walitumia hii mitandao ya kijamii kufanya mapinduzi makubwa yaliyobadilisha mfumo wa kidikteta na walau wakashuhudia hatua muhimu ya kuelekea katika demokrasia kwa kufanya uchaguzi,Tunisia nao vivyo hivyo. Nasema wanajf ni watanzania halisi kwani miongoni mwa sifa ya mtz halisi ni kulalamika tu bila kuchukua hatua.

Nchi ikifika hapa basi Mungu amjalie Kikwete aendelee kupata amani katika uongozi wake.Kwa mara nyingine wanajf naomba tutumie mitandao hii hasa kwa wale tuliopata bahati walau ya kubofya,na nadhani kwa kiasi kikubwa uoga si mkubwa sana.Matukio ya hivi karibuni(yaani ulimboka,ally zona na David)yanatosha,tusisubiri tukio jingine ili sisi tuendelee ku-comment.

Hivi kweli hii ndo kazi tuliyoichagua,tukatae,tuingie barabarani tupinge mambo haya.Aliye tayari kuninga mkono nami niko tayari kutoa namba zangu za simu.Hatuwezi kuendelea kuivumilia hii serikali dhalimu,isiyokuwa na tofauti kabisa na serikali zilizo wazi kuwa ni za kidikteta.Nitawapa namba zangu ifikapo saa nane na dakika tano mchana ili ikiwezekana tupange pakukutaniaili nasisi tuweze kuona tutafanya nini juu ya mauaji na dhuluma zinazoendelea.

Tahadhali:pandikizi asijidanganye kufika,najua hii ni hatari sana mimi kujiweka wazi,lakini ni hatari zaidi kwa pandikizi atakaedhani anaweza kunipeleka msitu wa pande
.
Karibuni tuunganishe nguvu


Haya yote ni matatizo ya Tanzania kufikia hatua ya kuwa na jeshi la POLISISIEMU, tuna wakati wa mpito mgumu! Kuanzia sasa jeshi la polisi jina lake ni 'POLISISIEMU' ili wajitambue kuwa sio walinzi wa raia bali walinda-CCM.
 
Njiwa za asubuhi mzee/bibi.Maneno matupu hayapigwi risasi,ukiona risasi zinarushwa na watu wanaanguka ujeue kulikuwa na vitendo.Nadhani utanielewa

ushapata wangapi..??! mkipigwa kwa uvunjaji wa amani msilaumu polisi
 
kuna siku niliandika humu nikiomba wanjf tuungane kupinga huu udhalimu na hata ikibidi tuunde chama cha ukombozi,waliojibu kwa ustaarabu walikuwepo,kama kawaida sikukosa waliotumia viuno kufikiri,lakini mwisho bwana mmoja akasema haiwezekani tukaungana huku tukishuhudia tofauti za kiitikadi ndani ya wanajf wenyewe.partly nakubaliana nae.

Misri walitumia hii mitandao ya kijamii kufanya mapinduzi makubwa yaliyobadilisha mfumo wa kidikteta na walau wakashuhudia hatua muhimu ya kuelekea katika demokrasia kwa kufanya uchaguzi,tunisia nao vivyo hivyo. Nasema wanajf ni watanzania halisi kwani miongoni mwa sifa ya mtz halisi ni kulalamika tu bila kuchukua hatua.

Nchi ikifika hapa basi mungu amjalie kikwete aendelee kupata amani katika uongozi wake.kwa mara nyingine wanajf naomba tutumie mitandao hii hasa kwa wale tuliopata bahati walau ya kubofya,na nadhani kwa kiasi kikubwa uoga si mkubwa sana.matukio ya hivi karibuni(yaani ulimboka,ally zona na david)yanatosha,tusisubiri tukio jingine ili sisi tuendelee ku-comment.

Hivi kweli hii ndo kazi tuliyoichagua,tukatae,tuingie barabarani tupinge mambo haya.aliye tayari kuninga mkono nami niko tayari kutoa namba zangu za simu.hatuwezi kuendelea kuivumilia hii serikali dhalimu,isiyokuwa na tofauti kabisa na serikali zilizo wazi kuwa ni za kidikteta.nitawapa namba zangu ifikapo saa nane na dakika tano mchana ili ikiwezekana tupange pakukutaniaili nasisi tuweze kuona tutafanya nini juu ya mauaji na dhuluma zinazoendelea.

Tahadhali:pandikizi asijidanganye kufika,najua hii ni hatari sana mimi kujiweka wazi,lakini ni hatari zaidi kwa pandikizi atakaedhani anaweza kunipeleka msitu wa pande
.
Karibuni tuunganishe nguvu


acha uwongo wewe na unachoongea hakitoke moyoni mwako..kama kweli huogopi nenda basi kwenye tv ukatoe hayo watu wakuone au nenda hata fb ambako kuna jina lako kamili ..mbona unakimbilia huku kwenye kutumia majina ya mbuzi mbwa ndo kama id yako.... We si mzalendo wa kweli ni mnafiki tuu
 
mimi nakwambia haina haja ya kukurupuka, tunatakiwa tuanze kutumia mbinu za komandoo kipensi kwanza. wakimuua mmoja sisi tukazane kuingia kwenye vyombo vya usalama kama jeshini na polisi bila kusahau magereza. Huko tukiwepo wenye mitazamo kama yako tutakuwa na pa kuanzia
 
TIANANMEN


Halafu kwanini anaingia na fake ID kama kweli haogopi mabwepande?
Hiyo sio fake id,ni jina langu kaka,mbona nimesema hili mara nyingi,naitwa Saganka Mashauri,sifichi jina.Mwanamasumbwi wa ukweli haogopi ngumi za usoni.
 
acha uwongo wewe na unachoongea hakitoke moyoni mwako..kama kweli huogopi nenda basi kwenye tv ukatoe hayo watu wakuone au nenda hata fb ambako kuna jina lako kamili ..mbona unakimbilia huku kwenye kutumia majina ya mbuzi mbwa ndo kama id yako.... We si mzalendo wa kweli ni mnafiki tuu
Mimi sio mtangazaji wa television,utakuja kujua tu kwamba mapambano yangu ni ya kweli na uhakika,hivi karibuni utanielewa tu.
 
JF commedians????. Chonde chonde, najua mnafanya utani, lakini matani mengine mabaya, wenzenu wanawachukulia serious. Halafu ukipenda matani ya kujinyonga utakuja kujinyonga kweli. Ooooh! Nyie endeleeni. Nakumbuka maneno aliekua makamu wa raisi mpole kua, nyimbo mbaya haimbiwi mtoto. Maanake na yee aitaimba mbele ya wageni. Au itamletea laana.
Rafiki yangu mzimu mbona unakuwa THOMASO,hadi uje ushuhudie mambo,ila nashukuru kwa wale nilioongea nao tumeelewana,naonya tena kwamba kama miongoni mwa tuliozungumza nao ni spies wa serikali basi wasisogee jirani na mimi,naogopa kuvunja amri ya tano ya Mungu.
 


ushapata wangapi..??! mkipigwa kwa uvunjaji wa amani msilaumu polisi
Njiwa mshukuru Mungu kwamba una nafasi ya kutumia fake id,otherwise hayo mahaba yako juu ya ccm yangekutokea puani,na hata hivyo yatatimia,unabisha! piga simu yangu ni 0782 577 006.
 
TIANANMEN


Halafu kwanini anaingia na fake ID kama kweli haogopi mabwepande?
Jina lako maana yake ni tega masikio,sasa endelea kutega tu utanielewa. Jina langu ni Saganka Mashauri na namba yangu ni 0782 577 006
 
Haya yote ni matatizo ya Tanzania kufikia hatua ya kuwa na jeshi la POLISISIEMU, tuna wakati wa mpito mgumu! Kuanzia sasa jeshi la polisi jina lake ni 'POLISISIEMU' ili wajitambue kuwa sio walinzi wa raia bali walinda-CCM.

Not_Yet_Uhuru na MZIMU sio ndugu japo wanafanana avatar zao. TEhe! tehe!
 
Back
Top Bottom