Nimeamua kuwa wazi, siogopi polisi wala CCM na serikali yake

Nimesubiri namba sijaiona. Suggest sehemu ya kukutana, saa ngapi na lini. Hakuna haja ya namba
 
mzimu mimi sio chizi,na ndo maana sijaharibu laptop yangu,usiponielewa leo naamini kesho utanielewa.lakini hakukuwa na sababu ya wewe kutumia lugha kali kiasi hicho,hayo ni mawazo na mtazamo wangu,ila nashukuru tu kwamba umesema chochote,nimeweka namba ya simu,unaweza piga ili nikudhihirishie kuwa mimi si chizi.

Saganka, unapo ongelea chama cha ukombozi, unaongelea kama vile ilivyokua UNITA na NRA? Au unadhani Tanzania inahitaji vyama vingapi vya siasa ili kuleta ukombozi?

Sasa unaongelea ukombozi gani ambao unataka tukupigie simu ili utupe mikakati yako?

Nakosa maneno sahihi ambayo hata watoto wanaweza kuyasoma ili kuelezea hisia zangu juu ya hiki ulicho kiandika.

Nina doubt na knowledge yako kuhusu siasa na harakati za ukombozi ulimwenguni na afrika kwa ujumla.

You are talking serious issues very foolishly.
 
SAGANKA soon utakuwa past tense ukiendeleza msimamo wako wa kutaka kuonana na wanajf au hata kutoa namba yako. This is wake up call, shituka wewe! Utadhani unawapa wanajf namba yako kumbe TISS na hiyo kesi ya uhaini haitafika mahakamani, watakuua b4.
 
Siasa ni mchezo mbaya sana...mwisho wa siku wanaoathirika ni watu masikini wa kawaida ...Wanasiasa viongozi wanaoanzisha vurugu wao wanasepa mambo yanapokuwa mazito..... Masikini wanatumiwa kuwa mstari wa mbele wanakuwa waathirika wakubwa na wanaishia kuumia, kulemazwa na hata kupoteza maisha na zaidi zaidi kusahaulika.... na hata mafanikio yakipatikana pia wanaachwa pembeni .....Then wanahamasishwa na kundi jingine kudai haki na na unabaki kuwa mzunguko wa athari (Vicious Cycle) Tanzania kwasasa hatudai uhuru tunadai utawala bora, haki na maendeleo ...Kitu cha msingi ni kuwaelimisha raia kuhusinana na hayo bila kutumia nguvu wananchi wanaelewa sana ....Kura ndio njia pekee ya kuleta mabadiliko na si vinginevyo. Hizi vurugu za kila siku zinatuudhi na kutupa mashaka sana na mnaotaka kwenda Ikulu.
 
Mkuu labda nina matatizo ya kuelewa uchafu na usafi!.. Unasema kuwa viongozi wanaoanzisha vurugu huwa wanakaa pembeni na wanaoumia ni maskini????.. Viongozi wanaoanzisha vurugu ni hao ambao hawataki kuwasikiliza wananchi (Watawala). Hao haswa ndio wa kulaumiwa kwa lolote liwalo!. Wale waliowapiga Raia risasi za visogoni walipokuwa wakiwakimbia haswa ndio wa kulaumiwa! Waliomteka na kumtesa Ulimboka na waliompiga risasi kijana wa watu Morogoro ndio wa kulaumiwa. Naam! Hawa waliomuua kinyama Mwanahabari huko Iringa ndio hao hao wa kulaumiwa na kulaaniwa kabisa!.. Pia unasahau. Watanzania hawataki "Utawala bora" wanataka "Uongozi bora".. Hii dhana ya Utawala ni ya kikoloni kama unavyoona watawala wamekuwa kama miungu! Haigusiki wala kusemwa. Miungu ya ccm; miungu; miungu!. Miungu ya Chama Tawala.
Wananchi hao hao masikini waliopuuzwa ndio watakaodai haki zao! Ndio watakaozibua masikio ya Miungu wa ccm ama kwa vibao au kwa kilio kikuu!.. Namaanisha ama kwa sanduku la kura au kwa kuingia na kujaa mitaani kwa maandamano.
 
Pro chadema wa jf ni keyboard warriors ... Maneno mengi behind keyboards and anonymous I'Ds Hakuna atakaye thubutu kufanya hayo uliyoyasema...
 
Umenena vema deus,mabadiliko yanahitaji kichwa na kifua,wala si tumbo na kiuno.Watu watumiao tumbo na kiuno ndo waliotufikisha hapo.Deus nitakutafuta kaka tuzungumze.
 
umenena vema deus,mabadiliko yanahitaji kichwa na kifua,wala si tumbo na kiuno.watu watumiao tumbo na kiuno ndo waliotufikisha hapo.deus nitakutafuta kaka tuzungumze.

Saganka, kwa hii sentesi umenena vema. Now you are talking sense.
 
Pro chadema wa jf ni keyboard warriors ... Maneno mengi behind keyboards and anonymous I'Ds Hakuna atakaye thubutu kufanya hayo uliyoyasema...
Njiwa za asubuhi mzee/bibi.Maneno matupu hayapigwi risasi,ukiona risasi zinarushwa na watu wanaanguka ujeue kulikuwa na vitendo.Nadhani utanielewa
 
SAGANKA soon utakuwa past tense ukiendeleza msimamo wako wa kutaka kuonana na wanajf au hata kutoa namba yako. This is wake up call, shituka wewe! Utadhani unawapa wanajf namba yako kumbe TISS na hiyo kesi ya uhaini haitafika mahakamani, watakuua b4.
Arusha one mbona unakuwa na moyo mgumu,nielewe kuwa hao wanaojiita intelijensia hapa ni zaidi ya intelijensia,mimi ndo nitawafanya kuwa past tense kama wakija na malengo haya,amini nakwambia
 
Saganka, unapo ongelea chama cha ukombozi, unaongelea kama vile ilivyokua UNITA na NRA? Au unadhani Tanzania inahitaji vyama vingapi vya siasa ili kuleta ukombozi?

Sasa unaongelea ukombozi gani ambao unataka tukupigie simu ili utupe mikakati yako?

Nakosa maneno sahihi ambayo hata watoto wanaweza kuyasoma ili kuelezea hisia zangu juu ya hiki ulicho kiandika.

Nina doubt na knowledge yako kuhusu siasa na harakati za ukombozi ulimwenguni na afrika kwa ujumla.

You are talking serious issues very foolishly.
Degree yangu ya kwanza ilikuwa ya POLITICS AND MANAGEMENT OF SOCIAL DEVELOPMENT(BD.PMSD)Pale Chuo cha Mwl Nyerere,kwa hiyo kuhusu siasa ondoa wasiwasi,what am doing is not just politicking,its scientific politics,Mungu akusaidie utanielewa tu.
 
Back
Top Bottom