Nilijua tu ujinga ndio title kubwa leo!Swali lako katika muktadha huu ni la kijinga. Halina maana.
Kwa sababu, kama oxygen ipo, na inaweza kuthibitishwa kuwa ipo.
Au kama oxygen haipo, na jaiwezi kuthibitishwa kwamba ipo.
Yote hayo hayathibitishi Mungu yupo.
Jibu lolote kuhusu oxygen halina maana katika mazungumzo haya.
Thibitisha Mungu yupo.
Nimeuliza swali gumuNi kwamba haujui ? Unataka kujuzwa au ndio umeshauliza swali gumu?
Umevuka mipaka kaka 🤣Nitakuwa mwema hadi kwa Bacteria na virus. Hata nikiumwa sitaki matibabu wala kumeza dawa kwasababu zitaua hawa viumbe ambao nao wana haki ya kuishi.
Mi sitaki😒Wewe siyo mmojawapo kati ya ndugu? Karibu Sana uwe mwema Kwa binadamu wenzako na viumbe wengine 🥰
🤣Mungu ni nguvu ya asili(Nature)
Uchawi na majini ni fix tu hazina uhalisia!!!
Haya Jumapili twende Kwa Mwamposa tukajimalizeMi sitaki😒
Hivi haujawaji kujiuliza kuwa , ingetokea nini kama Uwepo wa Mungu ungethibitika kweli hasa kwenye imani?Nimeuliza swali gumu
Haendi popote bwasheeHaya Jumapili twende Kwa Mwamposa tukajimalize
😃Nimeuliza swali gumu
Njoo na sadaka tutoe yako😛Haya Jumapili twende Kwa Mwamposa tukajimalize
Yeah hiyo ni mifumo ya kupandikiziwa akilini tuNinachofahamu mimi, kuwa Atheist ni kama tunazaliwa wote tukiwa Atheist, ila mazingira na tamaduni unazolelewa ndiyo zitakufanya uwe wa Allah, Yehova, Krishna nk
Nijiulize kitu ambacho kimethathibika kwa waumini wengi nikiwemo mimi? Haya mambo sio dhahania, inakupasa kushiriki ili kuyaelewa! Tofauti na hapo utajiona uko sahihi sana!Hivi haujawaji kujiuliza kuwa , ingetokea nini kama Uwepo wa Mungu ungethibitika kweli hasa kwenye imani?
Sadaka toa kile kinachouma, toa kwenye mfuko wako tukajimalize tukose mpaka nauli turudi na miguu (Kawe to Buguruni Kwa mguu kisa eti nataka Baraka nijimakize Hela zote Kwa Mwamposa 🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙌Njoo na sadaka tutoe yako😛
Wapi nimetaka Mungu aje kujitetea?Nilijua tu ujinga ndio title kubwa leo!
Unataka Mungu aje kujitetea ila hitaki oxygen ije kujitetea, si tunaoongelea invisible things au! Wewe una amini oxygen ipo au kwa sababu sayansi imekuthibitishia hilo? Basi na mimi nasema Mungu yupo kwa sababu imani yangu imethibitisha hilo!
Viumbe visivyoonekana tena kama nini mapepo? Maana ulipoingia huko kuna list ya vitu hutakiwi kuviamini hiyo ni desturi yao.Nimefanya tafiti yakinifu nimekuja kugundua Mungu hayupo. Ni story tu za kutupa matumaini hewa.
Nimeamua kuwa Atheist. Nitaupa muda nao ukizingua namrudia Yesu.
Dhulma, uonevu, usaliti na ukatili umetamalaki sana.
Bora kuamini nature na kuwa mwema kwa viumbe hai hata visivyonekana.
Ni maamuz yangu binafsi.
Ukizaa kitoto chako kiwe kiatheist sasaNinachofahamu mimi, kuwa Atheist ni kama tunazaliwa wote tukiwa Atheist, ila mazingira na tamaduni unazolelewa ndiyo zitakufanya uwe wa Allah, Yehova, Krishna nk
Unaelewa maana ya kuthibitika kweli?Nijiulize kitu ambacho kimethathibika kwa waumini wengi nikiwemo mimi? Haya mambo sio dhahania, inakupasa kushiriki ili kuyaelewa! Tofauti na hapo utajiona uko sahihi sana!