Nimeamua kuwa Atheist

Kwa nini unauliza "nani"? Unajuaje hili ni suali la kuuliza "nani"?
 
Kwamba unataka kusema kuwa nani aliileta ile BIG BANG kabla haijabanguka,😂😂😂 na kuzi-form hizi sayari katika huu ulimwengu.
Kiranga
Ukishauliza "nani" tu umeshaonesha anthropic bias. Umeuliza swali la kasumba ya ujinga wa kiutu tu.

Lakini unamueleweshaje mtu ana anthropic bias wakati hajui hata anthropic bias ni nini?
 
Kumuhitajia kwenye nini?

Niambie ni kitu gani huyo Mungu ameshawahi kukufanyia ambacho sisi binadamu hatuwezi kufanya?
Mungu analichomoza jua kutoka mashariki na analizamisha upande wa magharibi.
Wewe unaweza? Au mchakato huo nani anaufanya?
 
Hongera sana, kuna gaidi la kikristo tena shoga limeua watu 9 uko Canada, umepata habar?
 
Kumdhania mwenzako hajui, huo ni ujinga mkubwa tena ni kiburi.
Kama hujui, hujui tu.

Haijalishi nakudhania hivyo ama la.

Ulichotakiwa kufanya hapa, kama unajua Anthropic bias ni nini, ni kutuhakikishia kwamba unaijua, kwa kuielezea.

Hujafanya hivyo.

Nimekwambia hapa umefanya ujinga wa anthrooic bias tu.

Huja address hiyo issue ya anthropic bias kabisa.

Umeonesha ujinga mwingine kwa kujitetea kihisia bila ku address the issue.

Mpaka sasa wewe mjinga tu.
 
Tatizo siwezi kutumia nadharia kwa kuthibitisha uwepo wa Mungu, hivyo hiyo elimu ya nadharia yenu inakukosesha nafasi ya kumjua Mungu.
Anzisha mada ya anthropic bias ili tujadiliane, unafikiri sisi kuishi duniani ni kwa bahati mbaya? Kwa nini tusende kuishi mwezini au kwenye sayari nyingine?
 
Anthropic boas ni habari kubwa kuliko habari ya uwepo wa Mungu.

Na usipoielewa ni nini, utaendelea kuuliza maswali ya kijinga ya "nani".

Nikiona unauliza swali la "nani" nakuona mjinga tu.
 
Anthropic boas ni habari kubwa kuliko habari ya uwepo wa Mungu.

Na usipoielewa ni nini, utaendelea kuuliza maswali ya kijinga ya "nani".

Nikiona unauliza swali la "nani" nakuona mjinga tu.
Hata mimi nikiona unanijibu kifedhuli nakuona "Mpumbavu"
Kwani "Discussion exchanges ideas while argument exchanges ignorance".
 
Hata mimi nikiona unanijibu kifedhuli nakuona "Mpumbavu"
Kwani "Discussion exchanges ideas while argument exchanges ignorance".
Sijakujibu kifedhuli.

Nimekuambia ukweli kwamba wewe ni mjinga.

Hujui anthropic bias ni nini.

Swali lako la "nani" linaonesha ujinga huu.

Zaidi, hoja yako ya kuona kuitwa mjinga kama tusi, badala ya kuona hii ni nafasi ya kujielimisha hata kwa ku Google ujue anthropic bias ni nini, inakuonesha una tatizo la kisaikolojia la ego. Unafanya ubishi wa kihisia ili ushinde, si ubishi wa mantiki na kutaka kuelewa.

Ndiyo maana mpaka sasa hivi hujui anthropic bias ni nini, na unaona mtu anayekueleza hapa umefanya ujinga kwa kutumia anthropic bias kakutukana, unapeleka mazungumzo kwenye kutukanana.

Kwa maandishi tuliyobadilishana hapa, it is a fact kuwa wewe ni mjinga kwenye anthropic bias, wewe ni mjinga kwa kutotaka kujifunza.

Huo upumbavu unaonisema mimi ni matusi ya ad hominem attack tu. Logical fallacy.

Hujajibu hoja yangu ya ujinga wako kuhusu anthropic bias, unanishambulia tu.

Umekosa somo kubwa sana la kujua anthropic bias ni nini kwa ujinga tu.

Ni vigumu kujadiliana nawe kwa sababu wewe ni mjinga unayeendelea kukumbatia ujinga.
 
Kaa na upumbavu wako wa kujiona kuwa ni mjuvi, nasikitika kuona kichwa kilichoharibiwa na logic.
 
Reactions: Lax
Kaa na upumbavu wako wa kujiona kuwa ni mjuvi, nasikitika kuona kichwa kilichoharibiwa na logic.
Sasa bila logic hata kuandika haya uliyoandika ungeweza wewe mjinga?

Unaelewa kuwa hata haya maandishi ili kueleweka inabidi yapangiliwe kwa logic?

Pumbaaavu.
 
Reactions: Lax
Sasa bila logic hata kuandika haya uliyoandika ungeweza wewe mjinga?

Unaelewa kuwa hata haya maandishi ili kueleweka inabidi yapangiliwe kwa logic?

Pumbaaavu.
Tumia logic kwenye vitu vingine na si kwenye masuala ya Mungu.
Ngedere Mpumbavu wewe.
 
Reactions: Lax
Tumia logic kwenye vitu vingine na si kwenye masuala ya Mungu.
Ngedere Mpumbavu wewe.
Wewe guluguja usiye ubongo wala uti wa mgongo hujui hata herufi za Kiswahili huna cha kuniambia nitumie logic wapi na wapi nisitumie.

Huyo Mungu wako wa hadithi huwezi kuthibitisha yupo, ndiyo maana unakuja na mazingaombwe ya "tumia logic kwenye vitu vingine na si kwenye masuala ya Mungu".

Unajua mtu akitumia logic kwenye masuala ya Mungu, atagundua huyo Mungu hayupo.

Ndiyo maana unabwabwaja hapa lakini huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Ni kweli dini zina mchango mkubwa kwenye jamii hasa kuleta utulivu kwa watu na kuwafanya watu wasifanye mabaya kwa kuwa na hofu ya Mungu.

Upande wa pili wa shilingi, Dini pia zina athari kubwa kwa waafrika kwa kufanya watu wasiwe responsible na matendo yao. Wamwachie Mungu.

Watu hawataki kuwa responsible kwenye maisha yao. Whatever happens in their life, it's either God or Satan.

Unakuta watu wanafanya ujinga na makosa, halafu wanasema ni Shetani. Kumbe ni ujinga na uzembe wao.

Mambo mengi yanafeli, kwa sababu ya hizi dini.

Watu hawataki kuwajibika, wana amini kwenye miujiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…