na kimsingi kwenye mkumbo hakuishii hapo, hata ndani ya imaniSijui vipi niweke nieleweke.
Ila nahisi Kuna Atheist wa mkumbo kama mimi nilivyohitaji kuwa.
Na Kuna real atheist,sasa pengine hawa real one wako real pia ila hawa wa mkumbo Kuna muda kwenye real life uhisi Kuna vitu haviko sawa wanajikaza tu.
Unamkataa Mungu jamiiforum haafu in real life sio kweli
unatafsiri vipi hali ya hapo middle east mkuu?hii conclusion nilifikia baada ya oct 29 naamini Mungu yupo kwa definition ipo nguvu inayonizidi ilionipa uhai ila story za Mungu ni wa haki sijui ana upendo hazipo hayo ni mambo yaliletwa ili kututawala tu
Wewe ndio mfano halisi nilichokisema humu kuwa kuna kutilia mashaka uwepo wa Mungu na kutilia mashaka yale yenye kuhusishwa na Mungu, sasa unakuta mtu anaenda kuwa atheist na kupinga uwepo wa Mungu kiujumla kisa tu hakubaliani au ana mashaka na madai ya huo upendo wa Mungu.
Umepata mashaka kwenye msingi mzima wa kuwepo Mungu au baadhi ya yale yenye kuelezwa kuhusu huyo Mungu? Kwa sababu mkuu ukitafakari zaidi utaona kuwa madai ya uwepo wa Mungu yapo kabla hata ya vitabu na ndio maana kuna ambao hawajawahi hata kuamini hivyo vitabu katika maisha yao ila wanaamini Mungu.sasa mkuu wamemjua kupitia vitabu, sasa wamepata mashaka kutoka kwenye maelezo ya vitabu , hapo sasa si ni jambo la automatic tu? au
hili halina ubishi mkuu.Kwa sababu mkuu ukitafakari zaidi utaona kuwa madai ya uwepo wa Mungu yapo kabla hata ya vitabu na ndio maana kuna ambao hawajawahi hata kuamini hivyo vitabu katika maisha yao ila wanaamini Mungu.
hahahahh...swali lako utaliona kama la mzaha ila lina mantiki kubwaElezea pua yako ilujuaje duniani kuna oksijeni ikawepo hapo mkuu
Ndio maana nauliza mashaka hayo kwenye msingi wa madai ya kuwepo Mungu au ni mashaka kwenye mambo yenye kuhusishwa na Mungu? Kwa sababu hata wa dini moja huwa wanatofautiana baadhi ya mambo kuhusu Mungu ila wote wanaamini huyo Mungu.hili halina ubishi mkuu.
sasa wenye mashaka hoja yao kama umeielewa kwanza inafocus sana kwenye abrahamic dinis, kama vitabu ni vitakatifu na wao wamepata mashaka kwenye hivyo vitabu hapo sasa si automatic utata wa Mungu wa kwenye hivyo vitabu?
Nje ya jamiiforums naenda kanisani mkuu. Huwezi kuishi kwenye conservative society kama Tanzania bila kuvaa koti la dini.Sijui vipi niweke nieleweke.
Ila nahisi Kuna Atheist wa mkumbo kama mimi nilivyohitaji kuwa.
Na Kuna real atheist,sasa pengine hawa real one wako real pia ila hawa wa mkumbo Kuna muda kwenye real life uhisi Kuna vitu haviko sawa wanajikaza tu.
Unamkataa Mungu jamiiforum haafu in real life sio kweli
naunga mkono hoja , imani ni suala binafsiPia imani ni suala binafsi sana. Wapo wengi wanaokiri hizi imani ila wana matendo maovu. Usichoke kutafuta majibu kutoka vyanzo mbalimbali.
Bro 🙌you have nailed it haiitaji maelezo mengi.Kwanza kabisa, kisichopo hakithibitishiki kwamba hakipo.
Narudia tena, kisichopo, hakithibitishiki kuwa hakipo.
Kwa sanabu hakipo, na kama hakipo, hakithibitishiki kuwa hakipo, uthibitisho unaendana na kilichopo.
Tunaweza kujenga hoja kama za proof by contradiction kuonesha contradiction zinazoonesha kitu fulani hakiwezi kuwapo. Katika hii dhana ya Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) hayupo, nimeelezea sana Epicurean Paradox mpaka michoro nimeiweka hapa. Google Epicurean Paradox, soma, ielewe, kama una swali kuhusiana an Epicurean Paradox lilete hapa.
Zaidi.
Mzigo wa uthibitisho unamuangukia yule anayesema kitu kipo.
Ndiyo maana Polisi wakija nyumbani kwako, wakisema una madawa ya kulevya, wao wanaosema una madawa ya kulevya wanatakiwa wafanye msako mpaka wayapate, wathibitishe yapo.
Hawakwambii wewe unayesema huna madawa ya kulevya uthibitishe huna madawa ya kulevya.
In principle, we cannot prove a negative, but we can show contradictions that shows the impossibility of a negative.
Swali la kuuliza hapa, ni kuwauliza wanaosema Mungu yupo, wathibitishe Mungu yupo.
Unasema Mungu yupo?
Kama unasema hivyo, thibitisha Mungu yupo.
nafafanua kwa mara ya mwisho mkuu.Ndio maana nauliza mashaka hayo kwenye msingi wa madai ya kuwepo Mungu au ni mashaka kwenye mambo yenye kuhusishwa na Mungu? Kwa sababu hata wa dini moja huwa wanatofautiana baadhi ya mambo kuhusu Mungu ila wote wanaamini huyo Mungu.
Basi mkuu naona nimeshindwa kueleweka japo mie nakuelewa vizuri tu.nafafanua kwa mara ya mwisho mkuu.
wao wanakataa au atleast kutilia shaka habari hizo kwa sababu wameona mapungufu/matatizo kutoka kwenye vitabu ambavyo vinasemekana vimetoka Kwake, na hawapati majibu ya kueleweka, hivyo habari za uwepo wake ni lazima ziwe na shaka --- hii haijalishi yupo au hayupo
natumai umeelewa mkuu
ngoja nikusome upya mkuu ili namimi nikueleweBasi mkuu naona nimeshindwa kueleweka japo mie nakuelewa vizuri tu.
Ndio ni imani na ndio lengo kuu, ndio maana wenye kukubali kuamini na kufuata maamrisho inasemekana kuna malipo wanapata. Shida atheists wanakwambia wao hawataki chochote kinachoitwa imani kwa kuona imani ni jambo lisilo na ukweli.UHURU JR nimekusoma mkuu, wewe umekiri kwamba ni "imani"
Sasa hapo shida ipo wapi? Ukweli wa hizo imani ni upi?Ndio ni imani na ndio lengo kuu, ndio maana wenye kukubali kuamini na kufuata maamrisho inasemekana kuna malipo wanapata. Shida atheists wanakwambia wao hawataki chochote kinachoitwa imani kwa kuona imani ni jambo lisilo na ukweli.
sasa mkuu haya mambo ni two way traffic --- we hujawahi ona au sikia wenye imani wanawatambia wasio na imani kwamba watachomwa?Ndio ni imani na ndio lengo kuu, ndio maana wenye kukubali kuamini na kufuata maamrisho inasemekana kuna malipo wanapata. Shida atheists wanakwambia wao hawataki chochote kinachoitwa imani kwa kuona imani ni jambo lisilo na ukweli.
Ni sawa, usipoviua hivyo viumbe vitakuua wewe, kumbuka survival is for the fittest.Nitakuwa mwema hadi kwa Bacteria na virus. Hata nikiumwa sitaki matibabu wala kumeza dawa kwasababu zitaua hawa viumbe ambao nao wana haki ya kuishi.