Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,986
- 189,587
We jamaa
Nilijiuliza kimoyo moyo ila ya ngoswe tumuachie ngoswe.Mara Paap Muosha Rungu ni KE ohooo!!!!
[HASHTAG]#Utani[/HASHTAG]
Kama lakoMbn tako lipo zigzag kama cherehani ya kudarizi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]naona umeamua kunipo povu la jumla na rejareja ukweli unauma ujue Au kifes kasahau kuedit vizuriWivu ,ukute umepigwa pasi hapo ukikaa kwenye benchi unaumia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitatumia kudarizia mashuka na vitambaa na mkoani tunatumaKama lako
Sembe mnatuma mkisagana sio?Nitatumia kudarizia mashuka na vitambaa na mkoani tunatuma
Mambo mrembo.Habari!
Kutokana Na mapenzi anayonipa mrembo huyu,mke wangu mtarajiwa nimeamua kutumia avatar yake
Tafadhalini jamani wanaume wenzangu Mimi ni kidume msije mp kutongoza mtabakwa![emoji23] [emoji23]