Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,100
Unapo elekea mtaanza kupishana kwenye dressing table na kugombania makeups na dada zako......[emoji13] [emoji13]Habari!
Kutokana Na mapenzi anayonipa mrembo huyu,mke wangu mtarajiwa nimeamua kutumia avatar yake
Tafadhalini jamani wanaume wenzangu Mimi ni kidume msije mp kutongoza mtabakwa![emoji23] [emoji23]