Mie mwanamke!
Hii taasisi ya ndoa hiiii!!!!!
Pasua kichwa!!!
Huko unakotaka kuhamia unajuaje hutapata maumivu?Kuna nyumba ndogo tunazijua zinanyanyaswa ile mbaya,Nakushauri tulia uishi pekee.Nyumba kubwa sirudi kamwe I swear jinsi nilivyoumia ni mpaka niwe nyumba ndogo kwanza kwa muda then ndio niwe single parent, hapo ndio nitaweza kujisamehe kwa kosa la kupenda nililowahi kufanya
Kama kuna ka ukweli ndani yake vileeeeeeeeee
Watoto wangu nawalipia ada mwenyewe tena kwa marefu na mapana hata nisipopata back up namanage maisha yangu mahitaji yote vizuri sana,, lakini lazima niwe nyumba ndogo kwanza ndio baadae nije kuwa single, roho yangu ndio itatulia.
Ashadii kwenye haya mapenzi we have so many theories that are not necessarly working, but at the end of the day I think happiness is the output everyone is looking for, I have decided to find my happiness in that way, and im sure it will work for me. kwanza ninahasira nimekuwa nikitafuta muda wote and wanawake wengine wa mume wangu wamekuwa wakitumia sana nilivyovitafuta mimi kwa jasho langu, sioni huruma coz hakuna aliyenionea huruma.