Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,947
NDUgu zanguni,
Leo hii imenibidi nifanye maamuzi magumu ya kurudi Chadema .
nimeamua kurudi Chadema kutoa elimu ya kujitambua ili vijana wajitambue na kukataa kutumiika Kama misukule .
Ni mategemeo yangu makamanda wengine wataungana nami Kwenye shughuli hii ya kuwatoa pepo anaewavuruga machadema
Vijana semeni NO! Kwa Hawa matapeli
JITAMBUE!

JITAMBUE![/QUO
Njaa mbaya!!
Duuuh, imekuwaje tena? Mhh haya ni maamuzi magumu sana. Chadema mpokeeni kondoo huyu.
Naona una utani na Mbunge WakoChadema haipokei mashoga
Ukifika huko, Waambie vijana wa cdm wana njaa kali....