Nimeamua kunoa panga

Nimeamua kunoa panga

Ankaly !
Hebu tia neno lako hapa, nadhani na ndiyo litakua somo letu la J'2 ya leo.
 
Bado unahangaikia mzigo tu? Soma alama za nyakati ukiona jua limekua na rangi kama ya nywele za kwapa ziliyovunda jua usiku ndio unaingia
 
Ndg nitonye ingawa pressure ina shuka, hakika huwezi kujifunikia hilo shuka. Chapa kazi achana na kina Kaizer kwani wanakusaidia tu.
 
Last edited by a moderator:
Mapanga teena! Kuna nin tena? Napita tu ntarudi badae
 
nitonye ukiona hayo yanatokea kwako ujue kabisa uko underperformance
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom