Nimeamua kunoa panga

Nimeamua kunoa panga

Hadi leo huwa naimba imba pale
japo kiongozi mwenyewe kachoka kama nini
hata mazoezi hayaeleweki tena sasa hivi.

Nyumbaa yaunguaa,sasa yaungua motoo jirani we twende tukazime wenye nyumba wameshindwa kuelewana kila mtu anajifanya anajua ohoohoo jirani eee twende tukazimee cc Mamndenyi najua kipindi hicho ulikuwa mwanakwaya wa Komba
 
Ankaly !
Hebu tia neno lako hapa, nadhani na ndiyo litakua somo letu la J'2 ya leo.

hahaha kijana wangu Judgement kumbe lisred linanihusu? jana nimepiga neno mbayaaa sina habari... nitonye habari yako bana.... Arabela yupo tu, tunafanya twisheni sehem moja
 
Last edited by a moderator:
Arabela popote ulipo, usisahau daftari langu la bioloji......umpitie mimisa pia mwambie asisahau ile walkman yangu nilimwazima juzi ijumaa.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom