Nimeamua kumtema mazima.

Ushaanza ooh elimu ndogo,cjui nini,wakati unamdate hukufahamu hilo,we mburula nini,kwani kwenye mapenzi elimu yako ina nafasi gani,unaonekana ulikuwa na lengo moja,hit and run,play boy tu huna lolote
 
Nadhani ulikosea mwanzoni. Na ulikosea zaidi kuomba umtafune wakati wa msiba, hapo ulijenga picha mbaya mno kwake, pengine yeye alikuhitaji muwe pamoja muda mrefu na mwishowe kakuona huna utu.
Mke akifiwa Mume aliyetoa mahari na kuoa hadhubutu kuomba game, itakua wewe ndugu yangu, labda huyo demu angekuwa mwehu ndio zoezi lako lingewezekana. Na kama angekukubalia wakati ana-msiba mimi ningekushauri usiendelee nae huyo demu sababu ni mwehu.
 
Kwahiyo nia ilikuwa ni kugegeda....duuh
 
wewe ni kama vicheche wengine tu,tafakari maisha ni kama muwa ukiisha utamu unatema.au hujui maana ya busness card?pia hujui inatakiwa kutumika pahala gani.ndo unajiita una elimu?whatch out man
 
Na kwa taarifa yake sasa dem hana cha dada mkali wala ushu***z kamchezea game tu, kamuona mzugaj na yeye kaamua kumzuga....Kudadadek..chezea madem wa mjini wewe....

si bora hata amuone mzugaji, kamuona mtoto...n kasepa kisela baada ya kugundua anadate mtoto...
 

Huyo demu bila shaka namfahamu.
 
Huyo demu bila shaka namfahamu.

Kuna mwenzio alishauziwa External HDD ya tsh. 120000 kwa tsh. 150000 kisa shingo nzuri ya huyo demu.... Kazi kweli kweli.....
 
Dada ana akili sana. angekubali tu ungemaliza alafu ungesepa! ha ha ha ha ha ningekua namjua ningemnunulia zawadi ya wallet ya kike!
 

Simple sana! Mtoe akilini, usonane nae kwa muda! halafu akiomba kuja kukuona unamtambulisha kama dada/mama yako mdogo!
 

ewaaaa! sasa m-pm Natalia akutafutie wanamke uko marekan manake unawazimikia hao.

acha ujinga kenge wewe eti nilipokuwa KANSAS kwa iyo unaona ndo watahadaika ama?? na wewe kwako mahali pazuri na pa kutoka ni mliman city eti ndo maneneo yangu ya kutembelea pusi wa head wakati unashinda nzese kila siku.

so far wewe unajipa maujiko ili watu wanasike kumbe kalaghabao babu mwanaume mwenye nyodo za kike kama wewe wala hakohozi.

so far nilijua Natalia na Mange Kimambi ni wanawake wacha wajiashue kumbe hata wanaume wako wa aina hii. poor boy umedhalilisha sana jinsia ya kiume aisee hasa watu wazima kama babu Dark City, Asprin, Kaizer na wengine.
 
Last edited by a moderator:

Hapa nimekuwa microscopic mzee wenzangu...

Naweza kusema nini halafu watu wakanielewa???

Ila bahati mbaya...na huu ndiyo ukweli...hawa ndiyo watoto/wakujuu zetu....lol!!

Babu DC!!
 
Hapa nimekuwa microscopic mzee wenzangu...

Naweza kusema nini halafu watu wakanielewa???

Ila bahati mbaya...na huu ndiyo ukweli...hawa ndiyo watoto/wakujuu zetu....lol!!

Babu DC!!

yaani napata picha eti ndo klein wangu anakuja na utumbo kama huu hapa?? fgs ningemtandika hadi akome.
 
yaani napata picha eti ndo klein wangu anakuja na utumbo kama huu hapa?? fgs ningemtandika hadi akome.


Mie nimeshajiandaa na sitashangaa...jana nimeletewa mashitaka kuwa kajukuu kamojawapo hata hakajafikisha 10yrs kanapenda kuvaa mlegezo....

kwa ufupi nimejiandaa kwa lolote isipokuwa nitaomba utumbo kama ule wa akina Cameron usibiri nimaliza zamu yangu hapa duniani......

Babu DC!!
 
Umeweka wazo la ngono mbele
 
...
kwa ufupi nimejiandaa kwa lolote isipokuwa nitaomba utumbo kama ule wa akina Cameron usibiri nimaliza zamu yangu hapa duniani......

Babu DC!!
hii ipo listi ya top five ya parent's worst nightmare. usiombe ukikute
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…