cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
makubwa!
du,nimeperuz hapo,kumbe majambia nayo yanahucka na frimas0n?nimeona mwanamke amekamata Jambia
Paxman soma vizuri uzi wangu.cheusingala kama unawasema sema watakujia bila wewe kutaka na hapo ndo unapokuwa kafara kwao.
acha porojo jiunge hapo ndo ujue link feki ama la.Paxman soma vizuri uzi wangu.
Kama kuwa kafara basi karibia watanzania wote watakuwa kafara maana sasa hivi kila mtu anadhani anawajua freemason.
hata hiyo link mkuu uliyonipa nina uhakika wa asilimia zoote kuwa sio wa freemason wa ukweli,mim nina rafiki yangu ni mtu mzito kidogo huko majuu na yeye ni member wa hii organization.Anasema kwamba huwezi kujiunga na freemason mpaka mmoja wa ambao tayari ni member akupendekeze kisha viongozi wao watakuchunguza kuona kama unavigezo.
acha porojo jiunge hapo ndo ujue link feki ama la.
mtu kujiaminisha yeye ni freemason hata kama siyo member hiyo ni ufreemason tu.mana kipo kwenye moyo wa mtu
cheusingala kama unawasema sema watakujia bila wewe kutaka na hapo ndo unapokuwa kafara kwao.