GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,177
Leo watanitambua Wapuuzi wakubwa hawa.Front seat, subscribed
Yote ninayoyasema katika NIMEAMUA KUKISANUA zangu za Leo ni kweli 100% na wawe Wapole ru kwani Wakinichefua zaidi nitasema ya ndani zaidi ambayo wengine hata muda huu wanaweza Kukamatwa na TAKUKURU ( PCCB )Duh, hatari sana
Mpuuzi mwenyewe.Leo watanitambua Wapuuzi wakubwa hawa.
Niongeze Dozi zaidi ili Muumie au niwaacheni Kwanza kwa hizi chache ili mpumue?Mpuuzi mwenyewe.
Sindano zangu zinawaingia Kisawasawa.Pole!
Fred Ngajilo 'Vunja Bei' kazoea Usamjo Usamjo ( Ujanja Ujanja ) halafu sasa Biashara zake haziendi vyema hayuko vyema Kiuchumi.kama mzigo upo bandarini, why wasilipie wakauchukua?
Acha chuki kwa waliokuzidi mkuuFred Ngajilo 'Vunja Bei' kazoea Usamjo Usamjo ( Ujanja Ujanja ) halafu sasa Biashara zake haziendi vyema hayuko vyema Kiuchumi.
Nani kakuambia Mbet ni kweli wameidhamini Simba SC hiyo Tsh 26.1 Bilioni Mkuu? Endeleeni Kudanganyika tu Mambumbumbu FC Original sawa?Si mchukue hela katika zile 26b ili mlipe kodi au za mchongo?
Kama hizi NIMEAMUA KUKISANUA zangu zote ni za Uwongo waambieni Waitishe Press Conference leo wazikanushe ili niweke nyinginezo Kali Mbili nilizoziweka kama Akiba ili Klabu sasa ichafuke zaidi na baadhi ya Viongozi wenu Wakamatwe.Acha chuki kwa waliokuzidi mkuu
Kuna pea 20 zimefika kwa ndege watagawana hizo pamoja na zuchu😃😃😃Mzigo umekuja na Meli na siyo kwa Bung'o ( Ndege ) kama ambavyo Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally anavyotudanganya.
Ukweli ni kwamba Kit Supplier wetu Fred Ngajilo 'Vunja Bei' alikuwa na Ukaribu wa Kisamjo Samjo ( Ujanja Ujanja ) na aliyekuwa Boss wa TPA ( aliyeondolewa ) hivi karibuni ( ambaye pia ni mwana Simba SC ) na alipanga Kuingiza Mzigo ( Jezi ) bila kulipa kabisa Kodi au kutoa Kodi Kiduchu tu.
Ukweli ni kwamba Jezi zimekwama Bandarini na Boss Mpya wa TPA 'amekaza' na anataka Kodi ya Serikali ilipwe vinginevyo hazitatoka na huenda Wachezaji wa Simba SC Keshokutwa ( katika Simba Day ) wakacheza Vidali Poo ( Vifua Wazi ) dhidi ya St. George FC ya Ethiopia.
Mmenikera GENTAMYCINE na Kunidanganya kuhusu Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kufanya 'Nikeshe' leo kama 'Popo' na sasa 'Nawaanikeni' rasmi.
Tuwekee huo mkataba halisi wa hiyo 12.5 bilioni hapa tuuone.Tuliwaambia kuhusu 20 b ni makaratasi mkabisha, hakuna bank yoyote Kwa apa Tanzania iliyowekwa iyo 20 b. Tukawaambia kuhusu mkataba 26 b ni chupri, mkataba halisi 12.5 b Kwa 5yrs mkabisha, Likaja la Manzoki kuwa Simba ni Chupri mkabisha, limekuja la Jezi mnabisha. Sasa tuendelee kusubiri kwakua uongo unakasi ya kufika Kwa watu na ukweli upo taratibu.
Tuendelee kusubiri ni swala la muda yote yata dhihirika Hadharani.