GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,252
- 110,838
Ni Mhadhiri ambaye pia ni ( Associate Professor ) kutoka nchini Uingereza ambaye yupo kwa ‘ Program ‘ maalum ya Kufundisha Somo moja katika Chuo Kikuu ( nakihifadhi ) hapa nchini Tanzania hasa kwa Wanafunzi wa Shahada ya Uzamili ( Masters Degree ) amesema ya kwamba katika Darasa lake ambalo lina Wanafunzi wengi ambao Shahada zao za Kwanza ( Bachelor Degree ) walifanya Vyuo Vikuu mbalimbali ila anapenda sana Uwezo mkubwa wa Kuelewa, Kuchambua na Kutumia Akili vyema kwa Wanafunzi kutoka SAUT, Mzumbe na Tumaini.
“ GENTAMYCINE hivi ni kwanini hapa Tanzania Kwenu Wanafunzi kutoka SAUT, Mzumbe na Tumaini ni Werevu sana kuliko wanaotoka katika Vyuo vingine kama cha hapo Jirani ambao nashangaa ni Chuo Kikubwa na Kikongwe mno ila Wanafunzi wake huwa ni wagumu Kuelewa, Walalamishi na muda mwingi huwa wanasinzia tu hovyo Darasani? “ aliuliza.
Nakaribia Kuondoka Tanzania Kwenu hapa ila nakuomba sana nifikishie salamu zangu za dhati kabisa kwa Walimu wa SAUT, Mzumbe na Tumaini kwani wanazalisha Wanafunzi Werevu mno na nimejivunia Kuwafundisha hili Somo langu na muda ujao nikija tena Tanzania nitajitahidi nikavitembelee hivi Vyuo kwani kupitia hawa Wanafunzi Wao wachache niliowafundisha wamenifanya niamini kuwa kumbe hata Afrika kuna Watu wana Akili mno kama Sisi Wazungu.
Mwisho kabisa naomba nitoe RAI kwa Uongozi wa hiki Chuo hapa Kuiga aina ya Ufundishaji wa Vyuo vya SAUT, Mzumbe na TUMAINI ambao unazalisha Wanafunzi wenye Akili ambao wamefanya Kazi yangu ya Kufundisha iwe rahisi isipokuwa kwa Wanafunzi Wao tu pekee ambao Kiukweli wana Vichwa vigumu, Wavivu na hupenda Kusinzia hovyo pamoja na Ukongwe wa Chuo chao.
Kwa maneno haya ‘ Kuntu ‘ kabisa ya huyu Mhadhiri ( Associate Professor ) kama hapa Jamvini kuna Wanafunzi wowote waliosoma SAUT Mwanza na hadi katika Matawi yake mengine, Mzumbe na Tumaini basi hapo walipo wanapashwa Kujipongeza kwani mmekubalika na mnasifika sana tofauti na wale wanaojazana hovyo Darasani huku hata Uelewa Wao ukiwa ni mdogo na duni mno.
Ninavyojua Mzungu akisifia Kitu huwa hakosei na anakuwa sahihi kwa 100% kabisa. Hivyo basi kwa hizi Sifa nadhani ni wakati sahihi nami sasa Kujichangisha Pesa ili nami nikasome Shahada yangu ya Kwanza kati ya SAUT au Mzumbe au Tumaini ili nami niwe miongoni mwa Wanafunzi Werevu kutoka hivyo Vyuo kama ambavyo wamesifiwa na huyu Mhadhiri Bingwa kabisa kutoka nchini Uingereza.
Nawasilisha.