Nimeamua kujitrain masters degree ofisini kwangu

Nimeamua kujitrain masters degree ofisini kwangu

What for? Unakuta mtu anasooooma afu kwa shida, stress kibao, madeni, poor job output na ukimaliza unaambulia salary increment 5%!

Mi siji soma masters milele labda nifadhiliwe kwenda majuu! Ada zenyewe ziko juu..haya una MBA toka umalize imekusaidia nn?

yaani muda naoupata kwangu ni mtaji,,,,hata salary ibakie hivohivo kwa miaka 20,,,,,,,,
 
Habari wana JF,
Kutokana na kazi kuwa ngumu kupatikana hata watu wa masterz wameamua kuficha magamba yao wakati wanaomba kazi. Wanakuwa na masterz lakini wanaomba kazi za ordinary degree na tunajikuta tulio na degree za kawaida wanatufunika.
Kwa kulitambua hili, na kwa kuwa katika kazi yangu ya sasa nabanwa sana na siwezi kwenda shule, nimeamua kutafuta mtaala wa masterz na kujifundisha mwenyewe katika desktop yangu ili niende nao sawa.

Sasa nilikuwa naulizia ni mtaala wa chuo gani naweza kuutumia kwa urahisi katika kujitraini ili nijipe hiyo masters, na baadae kujitengenezea cheti na kujifanyia graduation.

hongera kwa kupata black belt!

judoshodan.jpg
 
!
!
ni hivi mkuu,
sioti wala sitanii. Wapo watu huwa wanaficha magamba yao wakati wa kuapply kazi. Post inakuwa ni ya ordinary degree lakini naye anakomaa nayo na mkiitwa anakupiga gape kwa sababu anakuwa anajua zaidi. Lengo ni kula nao sahani moja yaani na mie nijitraini niwe fit kama wao though sitakuwa na cheti. Kwani haiwezekani?

Ndoto ikiisha ukiamka kafanye kazi pambana mkuu,get away from bad dreams.
 
!
!
nadhani tunawedza kuwa na tatizo linalofanana, wote tunahitaji kusoma na tuna vikwazo katika kutimiza hayo. Mie nimeplan kujitraini hapa hapa na ndio nahangaika kujiridhisha. Natafuta mtaala wa ekenforde ya tanga niuone ili nianze semester ya kwanza

Mi wananibania kwenda kusoma wakati nina vigezo vyote cjui wanahofia nini wakati mi Masters nasoma ili nipandishe kiwango cha mshahara na sio kwa nia ya kutaka vyeo vyao kwenye barua nimeandika kabisa nkimaliza ntarudi kushika chalk sitaki vyeo vyao
 
!
!
nadhani inawezekana kujifunza ukiwa ofisini, na unaweza kujifunza peke yako pia provided una nyenzo za kufanya hivyo. Mathalani face to face issue can be solved technologically in internet for instance.

hii huwezi kusomea ofisini pekee mkuu, kuna kitu wanakiita FACE to FACE, vile vile Research ni lazima uingie chimbo
 
!
!
hapana hayo mambo ya big results nao na divisheni five kwa kweli, duh!mkuu unanitakia mema kweli?
anyway, nimependa quatation yako hapo chini kwamba kupiga hatua kufikia lengo inahitaji kujitoa, kuhangaika, kuchakarika na kadhalika..asante mkuu

Tafuta mtaala wa Divion 5 Kama ulivyofafanuliwa kwenye The Big Results Now (BRN).
 
!
!
sijakuelewa mkuu, naomba ufafanuzi kwa sababu nikikumbuka nilisikia wapi hayo maneno ya akili ndiogo kutawala akili kubwa nakumbuka mh msigwa bungeni, sasa hapa inakujaje

akili ndogo inapotawala akili kubwa ndo matokeo yake haya sasa!
 
!
!
unajua nakuwa mwoga kidogo kuingia katika hivi vyuo vya online kaka....kwanza swala la kifedha siko poa sana lakini pili nina wasiwasi na hawa jamaa wanaitwa tcu kuhusu hadhi ya cheti changu na habari ya kucertify. Kuogopa yote hayo nikaona sio mbaya nikijitrain mwenyewe after all sitafuti cheti bali ujuzi wa kumatch na wenye masters kweli

Vyuo kibao vinatoa online masters ni hela yako tu
 
Habari wana JF,
Kutokana na kazi kuwa ngumu kupatikana hata watu wa masterz wameamua kuficha magamba yao wakati wanaomba kazi. Wanakuwa na masterz lakini wanaomba kazi za ordinary degree na tunajikuta tulio na degree za kawaida wanatufunika.
Kwa kulitambua hili, na kwa kuwa katika kazi yangu ya sasa nabanwa sana na siwezi kwenda shule, nimeamua kutafuta mtaala wa masterz na kujifundisha mwenyewe katika desktop yangu ili niende nao sawa.

Sasa nilikuwa naulizia ni mtaala wa chuo gani naweza kuutumia kwa urahisi katika kujitraini ili nijipe hiyo masters, na baadae kujitengenezea cheti na kujifanyia graduation.

That which the mind can conceive and believe, the mind shall receive. Keep on keeping on.
 
Back
Top Bottom