Nimeamua kujitrain masters degree ofisini kwangu

Nimeamua kujitrain masters degree ofisini kwangu

Habari wana JF,
Kutokana na kazi kuwa ngumu kupatikana hata watu wa masterz wameamua kuficha magamba yao wakati wanaomba kazi. Wanakuwa na masterz lakini wanaomba kazi za ordinary degree na tunajikuta tulio na degree za kawaida wanatufunika.
Kwa kulitambua hili, na kwa kuwa katika kazi yangu ya sasa nabanwa sana na siwezi kwenda shule, nimeamua kutafuta mtaala wa masterz na kujifundisha mwenyewe katika desktop yangu ili niende nao sawa.

Sasa nilikuwa naulizia ni mtaala wa chuo gani naweza kuutumia kwa urahisi katika kujitraini ili nijipe hiyo masters, na baadae kujitengenezea cheti na kujifanyia graduation.

Picha please
 
Kwa uhakika kwa mazingira yako hayo, asikudanganye mtu ni Open University Of Tanzania pekee inayokufaa na kwa hao wengine hapo oficin kwenu HAKIKA watakutambua, lakini uwe wa kujituma you will get what you need.
 
Mungu wangu bangi haijaruhusiwa watu wanamawazo haya ikiruhusiwa je c tutakimbiana jaman maisha hayana shortcut lazma ufuate protocal kuna wenzako wanamawazo kama yako wanadai kuwa degree ni rahc kupata kaz kuliko masters
 
!
!
nashukuru mkuu wa kambi....kwa juhudi tu ya kazi hapa ofisini, mie over kiranja wa zamu

Kwa uhakika kwa mazingira yako hayo, asikudanganye mtu ni Open University Of Tanzania pekee inayokufaa na kwa hao wengine hapo oficin kwenu HAKIKA watakutambua, lakini uwe wa kujituma you will get what you need.
 
Tafuta mtaala wa "university of papuchi"...wao wana mtaala mzuri pia field zao zipo nyingi tyuuu uraiani yaani mpaka uta tamani wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom