Nimeamini viongozi wengi waliishi na Magufuli siyo kwa dhati ya mioyo yao bali kwa unafiki

Inasikitisha sana kuzisoma hizi akili za humu jukwaani.

Mtu anafurahia kifo cha mwingine kama vile anazo namba za simu za hao waliopo mbinguni.

Kama vile kifo kinapokea pesa za hongo. Hizi ndizo roho mbaya za wabongo.
Ye dikteta mbona alikuwa akemei mahuaji ya wengine, watu walikuwa wanatekwa, Wengine wanapigwa risasi kwenye makazi ya viongozi, na waliothubutu kwenda kuwaona hao waliopigwa risasi na wenyewe wakafukuzwa kazi au kutolewa ubalozi,

Jitu Kama ilo likifa kwanini usifurahie?? na yule kwa miaka mitano yake iliyobakia uenda angetumaliza wote ili abakie peke yake
 
Nimeona mengi kuanzia kwa RC Hadi Mawaziri hakuna anayemkumbuka tena zaidi hata yale aliyoyafanya wakawa wanayahubiri kumbe na wao yaliwachosha!
Kumbe hakuna hata mmoja aliyapenda matendo yake labda Ole Sabaya!
Ile Chorus yao "Serikali ya Dr Joseph Pombe Magufuli"
 
Ila dikteta mungu alimjalia karama ya mahuaji, na chuki,

Chuki na roho chafu ilimdhidi hadi ikapunguza umri wake
Huyu aliyepo ndio yupo na chuki, mdini na mbinafsi sana, ila hakuna marefu yasiyo na ncha muda utaongea.
 
Ye dikteta mbona alikuwa akemei mahuaji ya wengine, watu walikuwa wanatekwa, Wengine wanapigwa risasi kwenye makazi ya viongozi, na waliothubutu kwenda kuwaona hao waliopigwa risasi na wenyewe wakafukuzwa kazi au kutolewa ubalozi,

Jitu Kama ilo likifa kwanini usifurahie?? na yule kwa miaka mitano yake iliyobakia uenda angetumaliza wote ili abakie peke yake
Kifo ni cha wote na kibaya zaidi hakuna ajuaye cha kwake kitafanana vipi.
 
JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao.... Maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini😂
Legacy ya UTEKAJI, UUAJI, KUPIKA DATA, UONGO NA UFISADI.
 
JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao.... Maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini😂
Legacy ya UTEKAJI, UUAJI, KUPIKA DATA, UONGO NA UFISADI
 
JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao.... Maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini😂😂😂
legasi utopolo
 
Nah! That’s not the point. Or rather, that’s not my point.

Ni hivi, nyie mmekifurahia kifo chake...
as long as anaoza huko kuzimu maneno yako ni porojo tu. How are you feeling! Mlikuwa mkitetea maovu yake. Feel it now. Huo ndio mshahara wenu.
 
JPM ameacha legacy
Hatukatai hata Iddi Amini na Bokasa waliacha Legacy ila sisi kama Watanzania wapenda Amani tumefurahi alipotuondokea bila kutuaga Which is good,alitutesa sana

Sasa ndio tumepata Raisi mwenye huruma Bi Samia Suluhu Mungu amlinde na wale wote wenye nia mbaya dhidi yake na Utawala wake
 
Inasikitisha sana kuzisoma hizi akili za humu jukwaani.

Mtu anafurahia kifo cha mwingine kama vile anazo namba za simu za hao waliopo mbinguni.

Kama vile kifo kinapokea pesa za hongo. Hizi ndizo roho mbaya za wabongo.
Hizo ndo ligasi alizoacha mwendakuzimu, chuki Kali unayoiona muasisi ni mwendakuzimu, yeye aliunda vikosi kazi vya kuua watu ye akijua kwamba hatakuja kufa, pia aliua wengine kwa mkono wake mwenyewe huku akidhani ye katoa hongo kwa Mungu ya kutokufa. Kiufupi mwendakuzimu alifurahia vifo vya asiowapenda akisahau kwamba na yeye ipo siku atakufa.
 
Back
Top Bottom