Nimeamini viongozi wengi waliishi na Magufuli siyo kwa dhati ya mioyo yao bali kwa unafiki

JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao.... Maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini😂😂😂
Ligansi ya NSSF

Hiii mayoo okabeshi Wizunza
 
Kubadili gia angani na unafiki kwenye siasa ni jambo la kawaida. Na katika kiini chake, siasa ni mchezo wa kinafiki, mchezo wa kufuata mvumo na mwelekeo wa upepo - hasa katika siasa zetu hizi za kimasikini huku Afrika.

Mtazame, kwa mfano, Mwalimu Nyerere - kiongozi msomi mwanafalsafa na mwenye bashasha sana na aliyeamini kabisa na kutenda alichokiamini. Unaweza kunitajia hata mwanasiasa mmoja tu aliyewaacha ambaye unaweza kusema kuwa alikuwa mfuasi wa kweli wa mawazo na fikra zake? Labda Sokoinne japo naye walimuwahi wakamuua mapema tu. Hata mwanafunzi wake aliyemwamini sana mpaka akiingia mtaani kumpigia kampeni nchi nzima (Ben Mkapa) aligeuka na kuwa wa hovyo tu utafikiri hakupita katika mikono ya Nyerere.

Hata mama naye akija kumaliza muda wake gia za angani zitapigwa tu. Ni kawaida!
Zulumati mifuko ya jamii Mungu sema Neno lingine
 
Ata Nyerere alifanyiwa unafki mkubwa. Uongozi ni kushirikisha watu kwenye maamuzi na kucha mifumo ifanye kazi, hakuna miujiza.
EeenHeee.

Mkuu MIXOLOGY, hata sijui kama hata wewe unaelewa ulichoandika hapo kwenye hiyo sentensi!

"Kushirikisha watu"?

Watu gani hao, hawa hawa wanaosemwa na mleta mada?

Hawa hata hiyo "mifumo" unayoizungumzia wana habari nayo? Hebu nionyeshe hata mmoja wao anayeweza kufanya kazi kwemye mifumo unayoiandika hapa.

Unamzungumzia Nyerere, hivi unajua ushirikishwaji uliokuwa ukifanyika wakati wa enzi hizo?

Haya mambo mengine tunayazungumzia tu humu mradi tu tunajisikia kuyaandika bila ya ku-'reflect' vizuri maana yake ni nini. hasa.
 
JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao.... Maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini😂😂😂
mama D, wanaoacha legacy wanajulikana tu hata kwa kile wanachoandika. Huyu kwa mtiririko wa mawazo yake tu unajua kabisa kwamba hapa hakuna kitu.
Akiacha legacy unitag, please!
 
Alikuwa jiwe, strong man, hayumbishwi na alisimamia anachokiamini. Nilipenda tulivyopelekwa, pamoja na madhaifu yake mengi, Ila he was a man indeed.

Hii nchi ya kishamba sana, tunataka tuishi vizuri, yet ni wavivu, wezi, wabadhirifu na ujinga mwingi. Tuendelee kubembelezana tuone tutakofika.
 
Ni kweli alikuwa na msimamo dhabiti usioyumba but mostly in a wrong way , na hii ilitokana either na kukosa washauri dhabiti au yeye mwenyewe kutosikiliza ushaur Aliamini watampotosha .....!! Kwa kile alichokifanya tulifaidika kidogo na kuumia pakubwa ....

Na trend inavyoonekana Kwa sasa hii nchi inaenda kuwa ngumu kuorganize, hapa JPM hahusiki Ila ni Hali ya watu kuwa na uelewa wa kile kinachoendelea , na matokeo yake yanajulikana
 
Ati Legacy...
Labda legacy ya kumlinda sabaya wakati wakishirikiana kuwalawiti wakina dada
JPM ameacha legacy kiasi kwamba hakauki midomoni na akilini mwa watu na wewe ukiwa mmoja wao.... Maana mwenyewe humalizi 1hr bila kumkumbuka, ila sijui kama ulishawahi kujiuliza kuwa wewe utaacha nini
 
Hata Adolf hittler anatajwa mpaka leo, naye umeshindwa kumuondoa ktk fikra zako pia, kwa upoyoyo wako wadhan ni kwa umahiri wake kt uongozi??

JPM hatajwi kwa mazuri zaidi anatajwa kwa udikteta wake na kushirikiana na akina sabaya kutesa watu
Kwa mtu aliyekwisha kufa na kuzikwa, hakika bado amezitawala fikra zenu!

Manake mmeshindwa kabisa kumzika ndani ya hizo fikra zenu duni mlizonazo.

Kila kona Magufuli ndo gumzo!

Sucka bytches.
 
Aliendesha nchi kwa Mkono wa Chuma!! Ukienda vs naye lazima upotezwe kwenye ramani ya siasa au dunia.
Kiongozi aina ya Hayati John Magufuli ndio aina ya kiongozi anayehitajika kuiongoza Tanzania zama hizi, achana na huyu anaerembua macho masaa 24 tutarudi hatua 20 nyuma.
 
Kiongozi aina ya Hayati John Magufuli ndio aina ya kiongozi anayehitajika kuiongoza Tanzania zama hizi, achana na huyu anaerembua macho masaa 24 tutarudi hatua 20 nyuma.
Yule dikteta muuaji!?, labda afufuke akaiongoze familia yako dada
 
Hata Adolf hittler anatajwa mpaka leo, naye umeshindwa kumuondoa ktk fikra zako pia, kwa upoyoyo wako wadhan ni kwa umahiri wake kt uongozi??

JPM hatajwi kwa mazuri zaidi anatajwa kwa udikteta wake na kushirikiana na akina sabaya kutesa watu
Mimi nimeshindwa kumuondoa Adolf Hitler kwenye fikra zangu?

Wapi nimemtaja Hitler mimi?

Typical nyumbu. Akili hamna kabisa.

Kama wewe umeshindwa kumuondoa Hitler kwenye fikra zako, hizo fikra zako usizihamishie kwangu.

Baki nazo.
 
Back
Top Bottom