Tokea Arusha tumepata Mkuu wa mkoa Mpya umeme unakatika wakati wa Taarifa ya Habari tu. Tofauti kabisa Na ratiba za mgao wa umeme wa awali Richa ya Tanesco kusema mgao wa umeme umeisha kwa sasa.
huyo ni komandoo mjichanganyeee mkafikili Wa viti maaalumu Kazi kwenu na atawanyooosha sana c mnajifanya nyie ni machaliiii atashika mmoja mmoja kama nkuruzinza anavyofanya Burundi mtapoteana
Ukiandika hivi unafaidika? Au ni kama mchawi tu anayefurahia mateso ya mwenzake?huyo ni komandoo mjichanganyeee mkafikili Wa viti maaalumu Kazi kwenu na atawanyooosha sana c mnajifanya nyie ni machaliiii atashika mmoja mmoja kama nkuruzinza anavyofanya Burundi mtapoteana