Katika Nchi hii hakuna kitu kinachotenganishwa na siasa, usitake kutuaminisha na mambo mengi tu yapo wazi.. Siasa za Nchi hii zinazoongozwa na chama tawala wapo radhi kuingilia chochote kile ilimradi Kuna masilahi yao binafsi bila kujali.. Inawezekana tanesco maji yamefika shingoni lakini Jiulize nani kaifikisha ilipo? TBC inaendeshwa kwa kodi za wananchi lakini mwenendo wake unataka kutuambia haungiliwi na siasa? Acha kujiona mjuaji kwa kutetea upuuzi ulio wazi.Tanesco sio chama cha Siasa. Wala sio mtu wala sio Shirika la mtu binafsi. Linaongozwa kwa mujibu wa sheria na maamuzi yake hayaingiliwi na mtu yeyote. Technical issues will remain technical. Political issues are left to politicians.
Mkuu kwani hali kama hii na kipindi hiki cha kampein tena kipindi hicho TANESCO ilikuwa bado inajidai kuwa tayari mashine kibaao za gesi ya mtwara zimewashwa. Mbona hata mgombea wa CCM alilitamka kuhusu jambo alipokuwa Arusha au na yeye atoe ushahidi.Kwanini baadhi ya watanzania mnakua na vichwa mgando kiasi hiki? kwanini unatumika vibaya kuichafua ccm ukiitwa utoa ushahidi wa hayo unayoongea unaweza? tuache ushabiki mda mwingine tuwe weledi naomba chunga ndimi yako isije kukupeleka pabaya ukawa kama mwenzio alietoa taarifa ya uongo ya mkuu wa majeshi ni ushauri tu
Mkuu walikuwa wanakata ili kuwapa watu hasira na ndo maana Magufuri kule Arusha aliwarushia mawe na harakaharaka waziri na TANESCO ikabidi waseme ukweli.Duu Sikubalian na ww Kisiasa vp kwan Tanesco huwa wanakata Umeme nyumba za wanachama Ambao so wa Ccm na ambazo ni za ccm hawakat achen kupotosha umma Siasa na Mambo ya kitaalam ni tofaut...
Walikuwa wanatumika kisiasa kwa kushindwa kutoa taarifa muhimu ya mgao kwa wateja wao mpaka wagombea wote wawili walipoisakama TANESCO ndo wakatoa siri ya mgao.Sasa ndo uamini kuwa Tanesco haiusiani na chama chochote kama mnavyosema hiusisha na ccm maana Magufuli asingeinyioshea kidole kama ingekuwa Tanesco inahusiana na tanesco
Ndio kuna UK AME lakini Kwa ustadi mkubwa njama zimefanywa Kwa maslai ya kisiasaMkuu kwani hali kama hii na kipindi hiki cha kampein tena kipindi hicho TANESCO ilikuwa bado inajidai kuwa tayari mashine kibaao za gesi ya mtwara zimewashwa. Mbona hata mgombea wa CCM alilitamka kuhusu jambo alipokuwa Arusha au na yeye atoe ushahidi.