Nimeamini TANESCO inatumika kisiasa

Nimeamini TANESCO inatumika kisiasa

Acheni kupost upumbavu tangulini mkuu wa mkoa akahusika NA mambo ya umeme? Uongozi wa tanesko unajitegemea wenyewe .
Khaa!! Halafu watu na akili zao wanakuja na kuanza kumponda mzee Mkapa
 
Usishangae hilo la mkato wa umeme,huyu jamaa eti anaenda masokoni hususani soko la kilombero na kiwa-harass wajasiriamali wanawake anapindua meza zao eti wanafanya biashara kuzunguka soko kwa kibali cha nani!?
Too much bogus!
 
Jibu ni rahisi sana ni suala la kuchukua takwimu pale mahakamani maana wavuta ndumu hushtakiwa pale.

Mwambie wanatandika ndom na kiroba alafu kwenye account iko kama 200M....Yeye hapigi ndom wala kiroba lakini account inasoma 20,000tsh
 
Usishangae hilo la mkato wa umeme,huyu jamaa eti anaenda masokoni hususani soko la kilombero na kiwa-harass wajasiriamali wanawake anapindua meza zao eti wanafanya biashara kuzunguka soko kwa kibali cha nani!?
Too much bogus!

Kama anafanya hivyo atakuwa anawaonea watu sana na si sawa kwa mungu wala kwa shetani.......Watu wanasota kutafuta buku kumi kwa siku alafu unaenda kumwaga chakula chao...........Malipo ni hapa duniani na siku zimekaribia.

Kazi ya mwanajeshi ni kulinda wananchi na sio kuwaonea
 
Mbona hata katika soko la kilombero anaonekana akiwanyanyasa wajasiriamali hasa wanawake kwa kuwapindulia vimeza vyao,na hata kuamuru wengine waondoke kabisa,kisa wameonyesha dalili za kukataa kutumiwa kama mgongo wa kuwaingizia maccem madarakani.???
acheni kupost upumbavu tangulini mkuu wa mkoa akahusika na mambo ya umeme? Uongozi wa tanesko unajitegemea wenyewe .
 
Tatizo Lilikuwepo Kweli Kama Mlivoambiwa Kutokana Na Gas Ya Mtwara Kuingizwa Kwenye System Na Juzi Ndo Mashine Ziliwashwa,na Bado Wanaendelea Kuweka Vitu Sawa.Kama Ukiangalia Nusu Na Robo Ya Tanzania Kulikuwa Hakuna Uhakika plWa Umeme Kabisa Lakini Kuanzia Jana Na Leo Tatizo La Umeme Limepungua Katika Maeneo Mengi.Matatizo Katika Maeneo Mengi Yanatokana Na Kubadilishwa Mifumo Na Miundombinu Mf.Nguzo,transfoma Nk.Na Tusihusishe Siasa Na Hali Ya Tanesco Inayoendelea.
Geita ni mwezi wa tatu sasa umeme unakatika saa 12am na kurudi saa moja jooni
mfano leo umekatika saa 11 afajiri ukarudi saa tisa mchana tena ukakata saa 12+ mpaka sasa haupo...
Sasa tangazo lao halina maana
 
Nyumba yangu imeuzwa kwa deni la mkopo kushindwa kurejesha kwa ajili ya umeme kama unampango wakuvuta mkopo kwa kupindi hiki ucjaribu utaukimbia mji
 
Geita ni mwezi wa tatu sasa umeme unakatika saa 12am na kurudi saa moja jooni
mfano leo umekatika saa 11 afajiri ukarudi saa tisa mchana tena ukakata saa 12+ mpaka sasa haupo...
Sasa tangazo lao halina maana

What do u mean nusu na robo kick ya ass mahesabu kwako ni left hand?
 
Tanesco..wanatuuzia nguzo ambazo zinaendelea kuwa mali zao.vikombe,service charge,survey nalipa mteja. wao kazi yao ni kukusanya hela tuu na kutoa huduma bora tuu inawashinda ? Na meter inatakiwa ulipie ? Nchi hii inatakiwa total reconstruction kuondoa mifumo mbovu kama hii.
 
tanesco nayo ni tawi la chama hata timing ya kuwasha huo mtambo wa gesi imekuwa politically infuenced
 
TANESCO juzi mmetuambia sijui mmewasha mitambo gani, Kumbe hili pia Ni USANII!!!
Kila siku ni kukata tu umeme, juzi eti tumewasha mitambo ya gesi mgao sasa Historia, kweli wa mbili havai moja, mnatuboa sana watanzania.

Huduma tunailipia bado mnatutesa namna hii, je hizo mnazotuambia zitakuwa bure itakuwaje????
 
Back
Top Bottom